Ay Masta - Dan'Hela - Übersetzung des Liedtextes ins Englische

Dan'Hela - AY MastaÜbersetzung ins Englische




Dan'Hela
Dan'Hela
Haya Haya Haaaaa...
Haya Haya Haaaaa...
DanHela
DanHela
Inaonyesha kabisa hupendi watu
It shows that you don't like people
Sogea... (Karibu)
Move closer... (Come close)
Bila wewe jua Maisha si kitu
Without you, life is nothing
DanHela... Ooh Ooh
DanHela... Ooh Ooh
Inaonyesha kabisa hupendi watu
It shows that you don't like people
Usijepotea... (DanHela)
Don't get lost... (DanHela)
Bila wewe jua maisha si kitu hayaya
Without you, life is nothing, no way
Nimekubamba wanakutongoza
I have you locked down, they are trying to woo you
Kila mmoja anakuhitaji uwe kwa-ke
Everyone wants you to be theirs
Wengine mpaka wana-kuvusha border
Some even take you across the border
Ili mradi kwao we ulai-nike
As long as they have you, they'll be happy
Shughuli ni watu
It's all about people
Na mimi si kiatu (DanHela)
And I'm not a shoe (DanHela)
Niahidi kitu
I promise you one thing
Hutoniacha mtupu
You won't leave me empty-handed
Kila nikikuona moyo wangu haujiwezi
Every time I see you, my heart can't take it
Na mimi siku moja nitaenjoy lako penzi (DanHela)
And one day I will enjoy your love (DanHela)
Muda mwingi nakuwaza niwe macho au kwa njozi
Most of the time I think, should I see you in person or in dreams
Naamini siku moja nitaenjoy lako penzi (DanHela)
I believe that one day I will enjoy your love (DanHela)
DanHela
DanHela
Inaonyesha kabisa hupendi watu
It shows that you don't like people
Sogea... (Karibu)
Move closer... (Come close)
Bila wewe jua Maisha si kitu
Without you, life is nothing
DanHela... Ooh Ooh
DanHela... Ooh Ooh
Inaonyesha kabisa hupendi watu
It shows that you don't like people
Usijepotea... (DanHela)
Don't get lost... (DanHela)
Bila wewe jua Maisha si kitu hayaya
Without you, life is nothing, no way
Wengine unawafanya wanapaa (wanapaa)
You make some soar (soar)
Wengine Chali miguu juu
Others, feet up in the air
Wengine shida boom bye bye (boom bye bye)
Some, problems boom bye bye (boom bye bye)
Wengine kila siku resi tu
Others, every day it's just a race
Njoo Wee... Unasakwa na wanaume
Come here... Men are after you
Njoo Wee... Ndugu wanagombana si basi uchune
Come here... Brothers are fighting, just go and take your pick
Wote unaoishi nao ni lazima wavume
Everyone you live with has to play by your rules
Haya-Haya aaaaa...
Haya-Haya aaaaa...
Boomba
Boomba
Na-ni asiyependa Vumba
Who doesn't love Vumba?
Usipolisaka utakula Pumba
If you don't chase it, you'll eat Pumba
Lenye Ubani haliwezi Vunda
What has Ubani won't go to waste
Utachunda.
You'll be the one to benefit.
DanHela. Ooh Ooh
DanHela. Ooh Ooh
Inaonyesha kabisa hupendi watu
It shows that you don't like people
Sogea... (Karibu)
Move closer... (Come close)
Bila wewe jua Maisha si kitu
Without you, life is nothing
DanHela... Ooh Ooh
DanHela... Ooh Ooh
Inaonyesha kabisa hupendi watu
It shows that you don't like people
Usijepotea... (DanHela)
Don't get lost... (DanHela)
Bila wewe jua Maisha si kitu hayaya
Without you, life is nothing, no way
Haya hayaa hayaa
Haya hayaa hayaa





Autoren: Ambwene Yessayah

Ay Masta - Dan'Hela
Album
Dan'Hela
Veröffentlichungsdatum
29-02-2020



Aufmerksamkeit! Hinterlassen Sie gerne Feedback.