Songtexte Mbagala - Diamond Platnumz
Mm-mm,
mm
Busara
na
upole,
na
hekima
nilorithi
kutoka
kwa
mama
yangu,
mama
Vyote
haukuvijali,
ukaona
silingani
kabisa
kuwa
na
wewe
Akuti
na
Mkole,
ukakata
kabisa
na
shina
la
penzi
langu,
nana
Eti
kisa
mali,
ukaona
bora
uniache
mimi
na
uolewe
Ile
siku
shekhe
namuona
anachoma
ubani
Unavishwa
pete
unakuwa
mke
wa
fulani
N'liumia
sana,
sana,
ah
Ile
siku
shekhe
namuona
anachoma
ubani
(ah-ha)
Unavishwa
pete
unakua
mke
wa
fulani
(ah-ha)
Niliumia
sana,
mi
niliumia
sana,
sana
Tatizo
kwetu
Mbagala,
hapa
nyumba
mbele
jalala
Tatizo
kwetu
Mbagala,
ukaona
mapenzi
siwezi
Tatizo
kwetu
Mbagala,
hapa
nyumba
mbele
jalala
Tatizo
kwetu
Mbagala,
ukaona
mapenzi
siwezi
Ah-ah,
ungejua
jinsi
gani
Machozi
n'lolia
kwa
uchungu
wa
penzi
langu,
na
Mwenzio
jinsi
gani,
vile
nimeumia
moyoni
Hata
kupendwa
sitamani
Utamu
wa
mapenzi
mwenzako
umekula
kwangu,
ma'
Mwenzio
sitamaani,
hata
raha
tena
mi
sioni
Ah,
naskia
hivi
sasa
una
mtoto
anaitwa
Mamu
Vile
akinuna
mpaka
atabasamu
Mmefanana
sana,
sana
Mi'
mwenzako
tena
mapenzi
mi'
sina
hamu
(ah)
Tena
na
mpango
wa
kuhama
Dar
Es
Salaam
(ah)
Nataka
niende
mbali,
niepuke
visa
na
walimwengu
Mi'
mwenzenu
siwezi
Tatizo
kwetu
Mbagala,
hapa
nyumba
mbele
jalala
Tatizo
kwetu
Mbagala,
ukaona
mapenzi
siwezi
Tatizo
kwetu
Mbagala,
hapa
nyumba
mbele
jalala
Tatizo
kwetu
Mbagala,
ukaona
mapenzi
siwezi
Nasema
Mbagala,
Mbagala,
Mbagala,
a-ah
Mbagala,
ukaona
mapenzi
siwezi
Nasema
Mbagala
(Mbagala),
Mbagala
(Mbagala),
Mbagala
(Mbagala),
eeh
Mbagala,
ukaona
mapenzi
siwezi
Tatizo
kwetu
Mbagala
(mm,
Mbagala),
hapa
nyumba
mbele
jalala
(mm,
mbele
jalala)
Tatizo
kwetu
Mbagala,
ukaona
mapenzi
siwezi
Tatizo
kwetu
Mbagala,
hapa
nyumba
mbele
jalala
Tatizo
kwetu
Mbagala,
ukaona
mapenzi
siwezi
(mama,
ma',
ah)
Mbele
jalala
(jalala),
kwetu
Mbagala
(Mbagala)
Mm,
mape-
Eh-eh,
hi-hi,
na,
na,
na,
na,
na,
na,
eh
Ayo
(ayo),
yo
I'm
Platnumz
ladies,
I'm
back
(I'm
back)
The
Sharobaro
President,
Bob
Junior
Mr.
Chocolate
Flava
Yo,
I'm
back,
Diamond
I'm
back
ha-ha
Nimemaliza
Attention! Feel free to leave feedback.