Wakadinali - Dilated - Übersetzung des Liedtextes ins Englische

Dilated - WakadinaliÜbersetzung ins Englische

Dilated
Dilated
Mikasa leo mabunduki ndio zilikuwa zinafanya kazi
Mikasa leo mabunduki ndio zilikuwa zinafanya kazi, guns were doing the talking today, girl
Pupupupu, pu pu pu pu, si watu watakufa
Pupupupu, pu pu pu pu, si watu watakufa, blaow, blaow, blaow, people are gonna die
Sasa mimi mtu kama mimi sina bunduki
Sasa mimi mtu kama mimi sina bunduki, now me, a guy like me, I don't have a gun
Na hivyo DCIO
Na hivyo DCIO, so the DCIO
GK wakuje watusaidie
GK wakuje watusaidie, GK better come and help us out
Si hukam na mamacho dilated
Si hukam na mamacho dilated, didn't you come with your eyes dilated, baby?
Ofcouse utaitana
Ofcouse utaitana, of course you'll call for backup
Karao alihate mabro walirelate
Karao alihate mabro walirelate, the cops hated it, but the bros related
Ju mabro marijuana
Ju mabro marijuana, because bros love marijuana
Nguna ana fake accent
Nguna ana fake accent, Nguna's got a fake accent
Lakini amejaribu
Lakini amejaribu, but he tried
Ka uko na chest pains
Ka uko na chest pains, if you've got chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu
Wacha tukujibu tunatibu wivu, let us tell you, we cure envy

Napiga lap Nairobi maithaa mbaya kama helly ya Covid
Napiga lap Nairobi maithaa mbaya kama helly ya Covid, I'm making rounds in Nairobi, things are bad like the peak of Covid
Area code ni maili ya saba android ilipeana mbogi
Area code ni maili ya saba android ilipeana mbogi, Area code is seven miles, the phone connected the crew
Kikosi haikosi kusambaa panga, ukiresist kwa lobby
Kikosi haikosi kusambaa panga, ukiresist kwa lobby, The squad never fails to spread out, if you resist, you'll end up in the lobby (dead)
Shori alitaka namba amezoea kuchimba, kachimbe fossils
Shori alitaka namba amezoea kuchimba, kachimbe fossils, Shori wanted the number, she's used to digging, let her dig for fossils
Walifuatwa kutoka outta
Walifuatwa kutoka outta, They were followed from outta
Wakamadwa Kagundo Road Mowlem
Wakamadwa Kagundo Road Mowlem, They were caught on Kagundo Road Mowlem
Early sato morning Ali alishtuka Hessy amemoket
Early sato morning Ali alishtuka Hessy amemoket, Early Saturday morning Ali was shocked, Hessy had got him
Spider weapon gun imported we una AK 47
Spider weapon gun imported we una AK 47, Spider weapon, imported gun, you've got an AK 47
Usipatwe ogopa open naskia kuna msako baada ni saa seven
Usipatwe ogopa open naskia kuna msako baada ni saa seven, Don't get caught in the open, I hear there's a raid after seven o'clock
Leo tuko ndani ya keja hatutoki
Leo tuko ndani ya keja hatutoki, Today we're inside the house, we're not going out
Jeshi iko handas na choki
Jeshi iko handas na choki, The army is nearby with guns
Mblеina alikuliwa toja, toki, talker copper na koti
Mbleina alikuliwa toja, toki, talker copper na koti, Mbleina was robbed of his torch, phone, walkie-talkie, and jacket
Jeshi ya Koja, tuko Tom Mboya unlеss ni bigi missioni
Jeshi ya Koja, tuko Tom Mboya unless ni bigi missioni, Koja's crew, we're on Tom Mboya unless it's a big mission
Tourist mwenye aligongwa na hawker akatoboka madollar, sorry
Tourist mwenye aligongwa na hawker akatoboka madollar, sorry, Sorry to the tourist who was hit by a hawker and lost his dollars
Welcome to Nairobi though, chunga pori yoh
Welcome to Nairobi though, chunga pori yoh, Welcome to Nairobi though, watch out for the wilderness
Giza kwa corridor arif aligeuziwa na morio
Giza kwa corridor arif aligeuziwa na morio, Darkness in the corridor, Arif was turned on by a thug
Android ilipigwa tapo chokoch alichumia Landies Road
Android ilipigwa tapo chokoch alichumia Landies Road, The phone was tapped, Chokoch was chilling on Landies Road
Si uliambiwa ungafu diro, madam huku hatuko Otedo
Si uliambiwa ungafu diro, madam huku hatuko Otedo, Weren't you told to follow the path, madam, we're not in Otedo
Si hukam na mamacho dilated
Si hukam na mamacho dilated, didn't you come with your eyes dilated, baby?
Ofcouse utaitana
Ofcouse utaitana, of course you'll call for backup
Karao alihate mabro walirelate
Karao alihate mabro walirelate, the cops hated it, but the bros related
Ju mabro marijuana
Ju mabro marijuana, because bros love marijuana
Nguna ana fake accent
Nguna ana fake accent, Nguna's got a fake accent
Lakini amejaribu
Lakini amejaribu, but he tried
Ka uko na chest pains
Ka uko na chest pains, if you've got chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu
Wacha tukujibu tunatibu wivu, let us tell you, we cure envy
Si hukam na mamacho dilated
Si hukam na mamacho dilated, didn't you come with your eyes dilated, baby?
Ofcouse utaitana
Ofcouse utaitana, of course you'll call for backup
Karao alihate mabro walirelate
Karao alihate mabro walirelate, the cops hated it, but the bros related
Ju mabro marijuana
Ju mabro marijuana, because bros love marijuana
Nguna ana fake accent
Nguna ana fake accent, Nguna's got a fake accent
Lakini amejaribu
Lakini amejaribu, but he tried
Ka uko na chest pains
Ka uko na chest pains, if you've got chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu
Wacha tukujibu tunatibu wivu, let us tell you, we cure envy
Chuom tunashinda zimecrome na makiller
Chuom tunashinda zimecrome na makiller, We spend our days chromed out with killers
Anti terror unit si wanajua Munga ni pro-man a Driller
Anti terror unit si wanajua Munga ni pro-man a Driller, The anti-terror unit knows Munga is a pro, a Driller
Tortoise amphibian ni chura
Tortoise amphibian ni chura, A tortoise is a reptile, an amphibian is a frog
Bony and Clyde tuvamie mashuttle
Bony and Clyde tuvamie mashuttle, Bonnie and Clyde, let's take the shuttle
Ujue ka ulinitusi we ndo fala msee
Ujue ka ulinitusi we ndo fala msee, Know that if you insulted me, you're the fool, man
Juzi nikidandia masacco
Juzi nikidandia masacco, The other day robbing Saccos
Facebook ni Freemode
Facebook ni Freemode, Facebook is Freemode
Usiongelelee air pros
Usiongelelee air pros, Don't talk about Air Pros
Kama hujai oganga na Omo ama ujipake Kimbo
Kama hujai oganga na Omo ama ujipake Kimbo, If you haven't washed clothes with Omo or smeared yourself with Kimbo
Usiniambie about struggle
Usiniambie about struggle, Don't tell me about struggle
Tumeosha kuzoza labda uume mboch
Tumeosha kuzoza labda uume mboch, We've washed clothes, maybe you're a househelp
Umenyonga monkey na uko lockdown
Umenyonga monkey na uko lockdown, You've strangled a monkey and you're on lockdown
Mpaka umechoka
Mpaka umechoka, Until you're tired
Mtaani ni gang run, ukishukiwa ni unyurie
Mtaani ni gang run, ukishukiwa ni unyurie, In the streets it's gang run, if you're suspected, you run
Kuna siku Munga nilitry kutetea msee
Kuna siku Munga nilitry kutetea msee, One day, Munga, I tried to defend a guy
Huyu ameshikiwa bure
Huyu ameshikiwa bure, This guy was arrested for nothing
Fuck it pingu zililand mi nikafungwa shoe lace
Fuck it pingu zililand mi nikafungwa shoe lace, Fuck it, the handcuffs landed, I tied my shoelaces
Kwa kina snitch tulibisha
Kwa kina snitch tulibisha, We denied it to the snitches
Anadai angejisqueeze na dirisha
Anadai angejisqueeze na dirisha, He claims he would have squeezed through the window
Ngeus alidhani tumechat tangu mchana
Ngeus alidhani tumechat tangu mchana, Ngeus thought we'd been chatting since afternoon
Amenikalisha mi nashikisha
Amenikalisha mi nashikisha, He made me sit down, I'm holding down
Fans KOT wanadai kuskia
Fans KOT wanadai kuskia, KOT fans claim to hear
Miracle baby alidare
Miracle baby alidare, Miracle Baby dared
This is unfair, shori alikujia kuni
This is unfair, shori alikujia kuni, This is unfair, Shori came to me
After ashakukula fare
After ashakukula fare, After she ate your fare
Hii raha ina Corona, nmasuti and tie
Hii raha ina Corona, nmasuti and tie, This good life has Corona, I have suits and ties
Mradi koroga na different supplier
Mradi koroga na different supplier, As long as I deal with different suppliers
Si hukam na mamacho dilated
Si hukam na mamacho dilated, didn't you come with your eyes dilated, baby?
Ofcouse utaitana
Ofcouse utaitana, of course you'll call for backup
Karao alihate mabro walirelate
Karao alihate mabro walirelate, the cops hated it, but the bros related
Ju mabro marijuana
Ju mabro marijuana, because bros love marijuana
Nguna ana fake accent
Nguna ana fake accent, Nguna's got a fake accent
Lakini amejaribu
Lakini amejaribu, but he tried
Ka uko na chest pains
Ka uko na chest pains, if you've got chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu
Wacha tukujibu tunatibu wivu, let us tell you, we cure envy
Si hukam na mamacho dilated
Si hukam na mamacho dilated, didn't you come with your eyes dilated, baby?
Ofcouse utaitana
Ofcouse utaitana, of course you'll call for backup
Karao alihate mabro walirelate
Karao alihate mabro walirelate, the cops hated it, but the bros related
Ju mabro marijuana
Ju mabro marijuana, because bros love marijuana
Nguna ana fake accent
Nguna ana fake accent, Nguna's got a fake accent
Lakini amejaribu
Lakini amejaribu, but he tried
Ka uko na chest pains
Ka uko na chest pains, if you've got chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu
Wacha tukujibu tunatibu wivu, let us tell you, we cure envy
Pullup kwa nduthi, pah pah pah
Pullup kwa nduthi, pah pah pah, Pull up on a motorbike, vroom vroom vroom
Of course ni mchana
Of course ni mchana, Of course it's daytime
Victim alikuwaga mrahisi kuonekana
Victim alikuwaga mrahisi kuonekana, The victim was easy to spot
Ju anapenda fashion sana
Ju anapenda fashion sana, Because he loves fashion too much
Mi na ex-boss wangu tulishakosana
Mi na ex-boss wangu tulishakosana, Me and my ex-boss, we've already had a falling out
Of course nilimsanya
Of course nilimsanya, Of course I beat him
Bro ni Samurai jack akishika panga
Bro ni Samurai jack akishika panga, My bro is Samurai Jack when he holds a sword
Manze ni costume hana
Manze ni costume hana, Man, he has no costume
Si guam tumepiga tukisababisha
Si guam tumepiga tukisababisha, We've been partying, causing a ruckus
Mpaka machuja zinatupa
Mpaka machuja zinatupa, Until the filters give up on us
We umekwom na manigga ati kunitisha
We umekwom na manigga ati kunitisha, You've come with your guys to try and scare me?
Na mi nimekuja na msupa
Na mi nimekuja na msupa, And I've come with a beautiful woman
Kuona maziwa tunafanikisha
Kuona maziwa tunafanikisha, To see breasts, we make it happen
Nyama tunakula na mfupa
Nyama tunakula na mfupa, We eat meat with the bone
Ndom naririma, jaba nashikisha
Ndom naririma, jaba nashikisha, That's how I farm, I hold the bag
Pombe tunaikunywa kwa chupa
Pombe tunaikunywa kwa chupa, We drink alcohol from the bottle
Kukuja mnakuja manze na mi sitatambua
Kukuja mnakuja manze na mi sitatambua, You can come, but I won't recognize you
Juzi mbang'a angenisare but
Juzi mbang'a angenisare but, The other day a cop almost arrested me, but
Nilimuuliza malaya unanishika unanijua
Nilimuuliza malaya unanishika unanijua, I asked him, "prostitute, you're arresting me, do you know me?"
Uliza Munga avocado zetu ukifinya unanunua
Uliza Munga avocado zetu ukifinya unanunua, Ask Munga, if you squeeze our avocados, you buy them
Napuliza gunga sababu tosha
Napuliza gunga sababu tosha, I smoke weed for good reason
Nipe Mola hii sifa na dua
Nipe Mola hii sifa na dua, God give me this praise and prayer
Vibe iko sure, hii ndo masaa ukinicall niko mteja
Vibe iko sure, hii ndo masaa ukinicall niko mteja, The vibe is sure, these are the hours, if you call me, I'm a client
Hustahili kuzua
Hustahili kuzua, You shouldn't cause trouble
Mi na budako hukunywa busaa na huko Kakamega
Mi na budako hukunywa busaa na huko Kakamega, Me and your friend used to drink busaa in Kakamega
Hii kelele iliwalemea
Hii kelele iliwalemea, This noise overwhelmed them
Ndio maana mliamua kuilenga
Ndio maana mliamua kuilenga, That's why you decided to target it
Kiterere nikiteleza na rende
Kiterere nikiteleza na rende, Sliding with a grater like kiterere (amaranth)
Lazima kutesa
Lazima kutesa, Gotta hustle
Si hukam na mamacho dilated
Si hukam na mamacho dilated, didn't you come with your eyes dilated, baby?
Ofcouse utaitana
Ofcouse utaitana, of course you'll call for backup
Karao alihate mabro walirelate
Karao alihate mabro walirelate, the cops hated it, but the bros related
Ju mabro marijuana
Ju mabro marijuana, because bros love marijuana
Nguna ana fake accent
Nguna ana fake accent, Nguna's got a fake accent
Lakini amejaribu
Lakini amejaribu, but he tried
Ka uko na chest pains
Ka uko na chest pains, if you've got chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu
Wacha tukujibu tunatibu wivu, let us tell you, we cure envy
Si hukam na mamacho dilated
Si hukam na mamacho dilated, didn't you come with your eyes dilated, baby?
Ofcouse utaitana
Ofcouse utaitana, of course you'll call for backup
Karao alihate mabro walirelate
Karao alihate mabro walirelate, the cops hated it, but the bros related
Ju mabro marijuana
Ju mabro marijuana, because bros love marijuana
Nguna ana fake accent
Nguna ana fake accent, Nguna's got a fake accent
Lakini amejaribu
Lakini amejaribu, but he tried
Ka uko na chest pains
Ka uko na chest pains, if you've got chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu
Wacha tukujibu tunatibu wivu, let us tell you, we cure envy

Autoren: Alex Kimani, Churchill Mandela, David Munga, Salim Tangut

Aufmerksamkeit! Hinterlassen Sie gerne Feedback.