Lyrics Let Me (feat. Sauti Sol) - ALIKIBA , Sauti Sol
(Yogo
on
the...)
Aah
eeh
umependeza
sana
Wazidi
kuniteka
mzuri
zaidi
ya
jana
Hata
ungekuwa
na
kasoro
tungefanana
Nimekupata
wewe
mapenzi
ya
rabana
Wala
si
utani
nikipanga
plan
huendani
Shida
ya
shetani
ya
watume
tuwaita
furani
Hao
punguani
hawajui
tu
kiundani
Basi
nikupe
imani
mbaya
mie
wako
maishani
Mama
yeah
yeah,
pasha
Bado
movie
ilo
kasha
Nizalie
na
mapacha
Naomba
usahau
bubwaja
Let
me
say,
chaguo
langu
ni-we
wewe
Let
me
pray,
nitakufa
na
wewe
nitadedi
na
wewe
Niko
tayari
me
oh,
me
oh,
ooooh
Niko
tayari
me
oh,
me
oh,
eeeh
Niko
tayari
me
oh,
me
oh,
eeh
Niko
tayari
me
oh
Niko
tayari
me
oh,
me
oh,
me
ooooh
Oyoyoyo...
Ya
Mungu
ni
mengi
Sikudhani
nitapata
penzi
nimependa
wengi
Nilikuwa
uwanjani
lakini
nimevua
jezi
Nikang'oa
nanga
kwenda
Bongo
nikafika
Mbenzi
Nikuonyeshe
Aliye
na
macho
haambiwi
tazama
Yaani
toto
kaumbika
kukukosa
itakuwa
lawama
Eh
na
palipo
na
nia
pia
pana
njia
We
ndo
wangu
malkia
tena
taji
nishakuvisha
Ale
mama
yooo
yooo
(Washa)
Na
mahaba
yote
(Washa)
Ni
zawadi
nimepata
Roho
imelia
mbwata
Aya
yooo
yooo
(Washa)
Na
mahaba
yote
(Washa)
Ni
zawadi
nimepata
Roho
imelia
mbwata
Let
me
say,
chaguo
langu
ni-we
wewe
Let
me
pray,
nitakufa
na
wewe
nitadedi
na
wewe
Niko
tayari
me
oh,
me
oh,
ooooh
Niko
tayari
me
oh,
me
oh,
eeeh
Niko
tayari
me
oh,
me
oh,
eeh
Niko
tayari
me
oh
Niko
tayari
me
oh,
me
oh,
me
ooooh
1 Oya Oya
2 Amour
3 Tamba (feat. Tommy Flavour, K2ga & AbduKiba)
4 Jealous (feat. Mayorkun)
5 Sitaki Tena
6 Salute (feat. Rudeboy)
7 Washa (feat. Nyashinski)
8 Infidèle
9 Bwana Mdogo (feat. Patoranking)
10 Habibty (feat. Khaligraph Jones)
11 Gimme Dat
12 Niteke (feat. Blaq Diamond)
13 Let Me (feat. Sauti Sol)
14 Utu
15 Ndombolo (feat. AbduKiba, K2ga & Tommy Flavour)
16 Happy (feat. Sarkodie)
Attention! Feel free to leave feedback.