Damian Soul feat. G Nako - Tudumishe (feat. G Nako) Lyrics

Lyrics Tudumishe (feat. G Nako) - G Nako , Damian Soul



Baby baby tudumishe
Nishirikishe nikushirikisha tudumishe
Pendo likianguka chuki zainuka
Tusiruhusu penzi lianguke chuki ziamke
Sasa ninatambuaa unanipenda kweli
Tena sitozingua hilo usijali




Damian Soul feat. G Nako - Tudumishe (feat. G Nako)
Album Tudumishe (feat. G Nako)
date of release
25-09-2015



Attention! Feel free to leave feedback.