Jux - Zaidi - translation of the lyrics into German

Zaidi - Juxtranslation in German




Zaidi
Mehr
Its bob manecky
Its bob manecky
Na na na na×4
Na na na na×4
Zinanitoka goosbamze
Ich bekomme Gänsehaut
Nikisikia jina lako
Wenn ich deinen Namen höre
Mimi naweukaa
Ich bin berauscht von dir
Kabisa me ni chizi wako
Wirklich, ich bin dein Verrückter
Na kama ni mganga eee
Und wenn es ein Medizinmann ist, eee
Mzuri uyo mganga wako
Dein Medizinmann ist gut
Sio kwa kunipumbaza uku
Nicht dafür, mich so zu betören
Bby mmhh
Baby mmhh
Mamy ongeza ubuyu
Schatz, gib mehr Ubuyu hinzu
Nizidi kuumumunya eee
Damit ich weiter daran lutsche, eee
Tena na sukari guru
Wieder mit Rohzucker
Utamu nikitafuna eee
Die Süße, wenn ich kaue, eee
Bby ongeza ubuyu
Baby, gib mehr Ubuyu hinzu
Nizidi kuumumunya eee
Damit ich weiter daran lutsche, eee
Tena na sukari guru
Wieder mit Rohzucker
Utamu nikitafuna eee (mhmh)
Die Süße, wenn ich kaue, eee (mhmh)
Kama ni pili pili maa (na na na na)
Wenn es Chili ist, Schatz (na na na na)
Acha ukali niusikie (na na na na)
Lass mich die Schärfe spüren (na na na na)
Kama nivita mama (na na na na)
Wenn es Krieg ist, Mama (na na na na)
Acha adui wanivamie (na na na na)
Lass die Feinde mich angreifen (na na na na)
Kama we ni asali maa (na na na na)
Wenn du Honig bist, Schatz (na na na na)
Acha na nyuki wanivamie (na na na na)
Lass auch die Bienen mich angreifen (na na na na)
Lakini penzi lako bby (na na na na)
Aber deine Liebe, Baby (na na na na)
Ata kidogo lisipungue (na na na na)
Soll nicht mal ein bisschen weniger werden (na na na na)
No no nooooo
No no nooooo
Zaidi zaidi zaidi zaidi (mhmhh)
Mehr mehr mehr mehr (mhmhh)
Nipe nipe
Gib mir gib mir
Zaidi zaidi (mhmhh)
Mehr mehr (mhmhh)
Wewe zaidi zaidiii
Du, mehr mehhrrr
Wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii)
Du, gib mir mehr mehr (mehhhr)
Haya yaya yaaah yaaah...
Haya yaya yaaah yaaah...
Haya yaya haya yaya yaaaah...
Haya yaya haya yaya yaaaah...
Nanyosha mikoni juu
Ich hebe meine Hände hoch
Kwako me nimesarenda
Vor dir habe ich kapituliert
Naona maajabu
Ich sehe Wunder
Sungura kazidiwa ujanja
Der Hase wurde überlistet
Nimekuwa zuzu zuzu zuuu
Ich bin ein Dummkopf Dummkopf Dummm geworden
Nimekuwa bubu bubu buuu
Ich bin stumm stumm stummm geworden
Nimekuwa mbumbu mbuu bby
Ich bin unwissend unwisssend geworden, Baby
Nimekuwa zaidi ya nyumbu
Ich bin mehr als ein Gnu geworden
Sioni sisikiii... (aaah)
Ich sehe nicht, ich höre nicht... (aaah)
Mamy ongeza ubuyu
Schatz, gib mehr Ubuyu hinzu
Nizidi kuumumunya eee
Damit ich weiter daran lutsche, eee
Tena na sukari guru
Wieder mit Rohzucker
Utamu nikitafuna eee
Die Süße, wenn ich kaue, eee
Bby ongeza ubuyu
Baby, gib mehr Ubuyu hinzu
Nizidi kuumumunya eeee
Damit ich weiter daran lutsche, eeee
Tena na sukari guru
Wieder mit Rohzucker
Utamu nikitafuna eeee
Die Süße, wenn ich kaue, eeee
Mhmhmh...
Mhmhmh...





Writer(s): Bob Manecky, Juma "jux" Mkambala


Attention! Feel free to leave feedback.