Lyrics In Case You Don't Know (feat. Nyashinski) - Jux feat. Nyashinski
Its
Bob
Manecky
Ni
maradufu
Upendo
wako
umenifaa
Ni
maradufu
yeah
yeah
Uwepo
wako
umetawala
Nikiwa
pekee
yangu
(bado
bado)
Sijakamilika
(bado)
Ata
mipango
yangu
(bado
bado)
Inavugurika
(bado)
Hakuna
anayezidi
kwako
mama
Nguvu
ya
mapenzi
yako
balaa
Umenifanya
nijione
bora
Bila
wee
me
siwezi
ng′ara
Hakuna
tena
zaidi
yako
mama
Nguvu
ya
mapenzi
yako
balaa
Umenifanya
nijione
bora
Bila
wee
me
siwezi
ng'ara
(no
no)
Incase
you
don′t
know
(iye)
Nitacheka
nawe,
nitacheza
nawe,
nitaimba
na
wewe
Incase
you
don't
know
(iye)
Nitaringa
nawe,
nitakwenda
nawe,
popote
my
baby
girl
Incase
you
don't
know
(iye)
Nitacheza
nawe,
nitaimba
nawe,
nitakwenda
na
wewe
Incase
you
don′t
know
(iye)
Nitacheza
nawe,
nitaringa
nawe
(iye)
Incase
you
don′t
know
Hii
inaweza
kuwa
fresh
Ka
una
time
twende
mahali
out
Okey
nachoshwa,
usimind
naeza
kaa
kwa
couch
Nitry
kukuimpress
ata
smile
baby
angalau
Na
tunatesa
hii
town
tunairun
walai
Mahater
wanakesha
wakitry
kubring
huyu
lover
down
Uskuwe
na
pressure
sit
down
let
me
run
my
mouth
Isikuogopeshe
ikisound
kama
wedding
vows
Nikutumie
location
ukam
mahali
pia
tulaunch
Night
ikue
special
surroud
sound,
movie
loud
Do
be
loud,
si
huwa
loud
ata
bila
party
(Its
a
party
for
two)
My
mission
is
to
always
stay
true
Live
to
see
my
dreams
come
true
with
you
(you...
uuu)
I
smell
the
wine
on
your
breath
Then
you
turn
around
and
whine
by
yourself
for
me
You
got
me
trying
to
resist,
I
pay
no
mind
to
the
rest
Na
nakuanga
nimekumind
You
are
the
best
for
me
You
pretty
bum
look
Now
you
make
me
love
you
Now
let
me
remind
you
Or
tell
you
incase
you
don't
know
Nitacheka
nawe,
nitacheza
nawe,
nitaimba
na
wewe
Incase
you
don′t
know
(iye)
Nitaringa
nawe,
nitakwenda
nawe,
popote
my
baby
girl
Incase
you
don't
know
(iye)
Nitacheza
nawe,
nitaimba
nawe,
nitakwenda
na
wewe
Incase
you
don′t
know
(iye)
Nitacheza
nawe,
nitaringa
nawe
(iye)
Nasema
me...
Najivunia
kuwa
na
we...
Kwa
furaha
unayonipa,
nipa
darling
(oooh)
Nasema
me...
Najivunia
kuwa
na
wewe...
eeh
Kwa
furaha
unayonipa,
nipa
beiby
Incase
you
don't
know
(iye)
Nitacheka
nawe,
nitacheza
nawe,
nitaimba
na
wewe
Incase
you
don′t
know
(iye)
Nitaringa
nawe,
nitakwenda
nawe,
popote
my
baby
girl
Incase
you
don't
know
(iye)
Nitacheza
nawe,
nitaimba
nawe,
nitakwenda
na
wewe
Incase
you
don't
know
(iye)
Nitacheza
nawe,
nitaringa
nawe
(iye)
Incase
you
don′t
know
Attention! Feel free to leave feedback.