King Kaka feat. Bilnass - Benchi Lyrics

Lyrics Benchi - King Kaka



Benchi
Ile design nafunga utadhani Ramadhan
Ita soldier bana mi ni badder dan
Paka fala inakula panya na mimba
Ukipenda chips mama ngoja pia mimba
Mi msafi aisee siongelei Simba
Happiness tu imeshinda mpaka Coke
Hauwezi niget kama inside joke
Hauwezi niget kama muslim na pork
Game haitaki kesi na hasira
King kaka bana Messi na mpira
Zungusha kama kiuno cha Shakira
Ninavalishwa lakini jua ma hakuna busu
Round benchi litawahusu
Ndio maana wana wanamishi
Wakiwa wanachoma waja wafungisha
Ndio maana wana wanamishi
Wakiwa wanachoma watawafungisha
Waambie benchi, benchi
Benchi litawahusu
Waambie benchi, benchi
Benchi litawahusu
Ololololoo, ololo, olololo (Lololo)
Ololololoo, ololo, olololo (Lololo)
Cheki, cheki, cheki, cheki
Cheki vile crown inatoshea fiti
Mistari imesimama ndio maana nakalia kiti
Si utume picha nikucheki whatsapp
Kama hautoshi unapigwa kasub
Na maji inakatwa tuko na Liquid
Beat ya S2kizzy mama nimechizi
Nishow chuki IG nashoiwa love UG
Nashow iwa love jiji, nashow iwa love TZ
Iiii Benchi!
Iiii Benchi!
If you know you know, niko na tupesa twa kublow
Trust me, if you know you know
Nikisema Rolex simaanishi chips na mayai
Sio kwa shamba niko na tuchips kwa ndae
Ndio maana wana wanamishi
Wakiwa wanachoma waja wafungisha
Ndio maana wana wanamishi
Wakiwa wanachoma watawafungisha
Waambie benchi, benchi
Benchi litawahusu
Waambie benchi, benchi
Benchi litawahusu
Ololololoo, ololo, olololo (Lololo)
Ololololoo, ololo, olololo (Lololo)
Iiii Benchi!
Iiii Benchi!
Ololololoo, ololo, olololo (Lololo)
Ololololoo, ololo, olololo (Lololo)
Waambie benchi, benchi
Benchi litawahusu
Waambie benchi, benchi
Benchi litawahusu
Eyoo Billnass
Naskia wanacomplain sana
Wanasema wameganda
Umewauliza wameganda kwa nini?
Wamekazana kwa mechi
Si unaelewa if you know you know
King Kaka, Bilnass, kubwa...
(Its S2kizzy



Writer(s): Kennedy Otieno Ombima


King Kaka feat. Bilnass - The Servant & the King
Album The Servant & the King
date of release
20-03-2020




Attention! Feel free to leave feedback.