Nyashinski - Aminia Lyrics

Lyrics Aminia - Nyashinski



Yeh!
Niko hapa kuwapa muziki mzuri
Wako hapa tu kuwa famous
Ama juu waliskia ma-rapper hupendwa na madem, bas'
Wanajiita lyricists kwa hizi interviews
Na mimi tu ndio nimetoa lyric video
Ika hit a million views, how?
(Yeah)
(Nyanshinski)
(Yeah, Cedo, yeah)
Ati Nyash hii area si ulikam na ubaya
Iko watu husema heri hata ungekwamia Ulaya
Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa retire
Secular lakini unaandika gospel fire
Si-live a lie
Najua nta-sound kama niko ma drei
But juzi walai
Nilipanda matatu na Trey na siuzi mayai
Nimetoka mbali aisee na siishi Rongai
True story!
Klepto si mtarudiana lakini
Hatujai achana tunaruadiana kwa nini
Na machali wa Inshalla mi na vijana wawili
Tutazidi sana kando na kukosana niamini
Tusipimane akili mi 'na kichaa
Waambie waache kujichokesha ulimi
Mi ndo teacher
Enyewe manze wataacha lini kujichocha
Juu ni clear, tukisimama
Hao na mimi mi ndio mnaprefer
Aminia
Oh, na-na-na-na-na
Aminia
Oh, na-na-na-na-na, eh
Aminia
Oh, na-na-na-na-na, eh
Aminia
Oh, na-na-na-na-na, eh
Aminia
Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
Aminia
Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
Aminia
Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
Aminia
Kuna tenje yangu fulani heri ibaki mteja tu
Au nikitoka niachange kwa keja tu
Najua ikilia ni mtu anataka favour tu
Kila converstation ni ka Deja Vu
Maisha imejaa na watu fake si uongo
Na visu zakunidunga nkiwageuzia mgongo
Washa sense ntakafunga so wananyemelea
Siezi afford kumwaga unga najitegemea
Sieki imani kwa binadamu mimi
Naeka imani kwa God si kwa sanam mimi
Ah, ka s'kupendi s'kufichi
No pretending hata simu zenu mi sishiki
N'kuwe pissed kwa nini
Siko pissed, niamini mi niko bien
Na go through vitu real ka nyinyi mimi pia
Maybe tu argue beats au beer
Hatuezi argue iko rapper anatoa hits ka mimi
Aminia
Oh, na-na-na-na-na
Aminia
Oh, na-na-na-na-na, eh
Aminia
Oh, na-na-na-na-na, eh
Aminia
Oh, na-na-na-na-na, eh
Aminia
Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
Aminia
Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
Aminia
Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
Aminia
Philosophy yangu ni don't worry chema chajiuza
Sijieki na Don Larry ama Martin Luther
Nani huyo asiyenenwa na interview, sio mimi
Nikianza hii kitu ni watu wa few waliamini
Nabii akosi heshima ispokuwa kwa nchi yake
Kwa jamaa zake na nyumbani mwake
Nabii akosi heshima ispokuwa kwa nchi yake
Kwa jamaa zake na nyumbani mwake
Hii ni ya kila mtu nishauliza ka anapenda rap
Akaniambia ako 50-50, yeah
Kila mtu ana consider kuingia hii biz ya mziki
But, ameambiwa ati mziki hailipi
Kukopa juu ni passion basi kazi hata
Ka we ni rapper ati juu ni fashion
Hatukutaki hapa
Hii ni ya msanii hulalanga nje na guitar
Anaimba for free, saa hii
Na ataendelea hata ka anajua ata hajalipwa
Yeah!
Hii ni kwa mtoi yeyote ako na dream
Siku moja joh niwewe wataita King
Jione umepanda stage na umeshika
Usiwai sahau mahali umetoka juu umefika
Aminia
S'choki, s'choki, s'choki
Style mingi kushinda menu ya kinyozi
(Aminia)
Naeza fly wengine hawatoshi
(Aminia)
Aminia, aminia, aminia
(Aminia)
Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
Aminia
Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
Aminia
Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
Aminia
Aminia



Writer(s): cedric "cedo" kadenyi, nyashinski


Nyashinski - Untitled
Album Untitled
date of release
16-05-2017





Attention! Feel free to leave feedback.