Lyrics
mazee
nilipatana
na
huu
dame
akani-show
hakuna
maMC
wakali
so...
nikampeleka
Decimal
akapatana
na
Punit
alafu
Musyoka
akanipea
hii
track
twende
kazi
1 (Frasha)
Frasha,
mi
mkali
nilianzanga
mziki
tu
na
Nakitare
akajikalisha
basi
tu
na
dakitare
si
unajua
Frasha
nakuwaga
dakitare
but
mtaani,
mi
ni
ordinary
si
wa
geti
kali,
boss
mi
mnare
ndio
maana
tudame
tunashindanga
kerere
wanataka
mpango
wa
kando
ati
niwadare
boss,
hey,
nisha-mare
niko
mdogo
mdogo
tu
kwenye
gare
mmm,
ha?
Si
usare
nikisonga
mbele
wako
pare
pare
pale
pale?
Eh,
pare
pare
si
tuko
kwenye
club
tuna-party
party
parerezo
yaani
pare
pare
mnarusha
mizuga
tu
pare
pare
maishani
mwangu
sijapata
mkare,
mkare,
mkare
maishani
mwangu
sijamwona
mkare,
mkare,
mkare
2 (Bon'eye)
Bon'Eye
jemedari
mkare
mistari
generale
kare
generali
tangu
kale,
kare
kikundi
serikale,
yaani
siri
kali
tangu
kale,
kare
haijalishi
kale
gani
kare
kazi
zote
karekare,
kare
nakatika
ile
hali
kare
cash
and
carry
in
a
hurry,
kare
carry
forward,
Kari
Francis,
haree
safari
za
mbalimbali,
kare
biashara
mbarembare,
kare
hatuchoki
na
hii
safari,
kare
sauti
za
kinyumbani,
kare
wekelea
kwa
dakitare,
kare
ya
dakitare
na
ni
kare
ke!
maishani
mwangu
sijapata
mkare,
mkare,
mkare
maishani
mwangu
sijamwona
mkare,
mkare,
mkare
3 (Buganya)
Buganya
nina
sware
madada
kibao,
wote
shware
wanamuka
mbele
yangu,
na
ni
sare
wanataka
leta
noma
na
kucheza
ngware
kwangu
kuja
nje
kuna
mbwa
kare
nyumba
ndani
huko
pata
bibi
kare
mkare...
mkare...
mkare
na
si
mkale
nimeng'ara
Karl
Kani
gani
toka
kare
nimechapa
toto
ware
ware
bado
kare
kama
umeshindwa
basi
reta
ture
na
uongeze
ture
ndio
mi
nikure
kuja
turerembe
kure
tuko
rembe
nyewe
kowa
manyu
wanataka
rembe
wanakaa
nakatika
kama
wembe
Otwabe
cheki
Buganya
kitambe
maishani
mwangu
sijapata
mkare,
mkare,
mkare
maishani
mwangu
sijamwona
mkare,
mkare,
mkare
1 Posa
2 Kupanda Na Kushuka
3 Imani
4 Ganji
5 Juu Tuu Sana
6 Una
7 Interlude Mr Omondi
8 Si Lazima
9 Swagger Nayo
10 Hapa Kule
11 Aggie Na Magiie
12 Rush Hour
13 Kare
14 Interlude Mr Kamau
15 Alright
16 Usikonde
17 Kushoto Kulia
18 Kali Acoustic
Attention! Feel free to leave feedback.