Rayvanny - Chuchumaa - translation of the lyrics into French

Lyrics and translation Rayvanny - Chuchumaa




Chuchumaa
Chuchumaa
Vanny Boy
Vanny Boy
Chuchumaa kama vile unafua
Chuchumaa comme si tu lavais
Mama unapika basi nije kupakua
Maman tu cuisines alors je vais te charger
Chuchumaa kwenye choo cha mabua
Chuchumaa dans les toilettes de chaume
Ila chunga mchanga usiingie kitumbua
Mais fais attention au sable ne rentre pas dans le "kitumbua"
Chuchumaa! Kisha ulegeze nyonga hiyo
Chuchumaa! Alors lâche tes hanches
Chuchumaa! Unitoneshe kidonda hiyo
Chuchumaa! Montre-moi ton "kidonda"
Chuchumaa! Ona nyoka anaconda hiyo
Chuchumaa! Regarde ce serpent anaconda
Chuchumaa! Ufanye mlima ufanye mlima kitonga hiyo
Chuchumaa! Fais une montagne, fais une montagne "kitonga"
Ai katoto, moto moto
Oh mon enfant, c'est chaud chaud
Moto moto, moto moto
Chaud chaud, chaud chaud
Aii baikoko, moto moto
Oh mon amour, c'est chaud chaud
Joto joto, moto moto
Chaud chaud, chaud chaud
Kamata ukuta
Attrape le mur
Shuka mpaka chini take it down zungusha
Descends jusqu'en bas prends-le et tourne
Kamata nakupa
Attrape je te le donne
Nikishika nyundo nipasue kichupa
Si je tiens un marteau je vais casser la bouteille
Oweoo weoo
Oweoo weoo
Kina dada mko wapi?
Les filles êtes-vous?
Oweoo weooo
Oweoo weooo
Basi muingie kati
Alors entrez au milieu
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Kimbau mbau, tukunyema
Kimbau mbau, bouge-toi
Pilau lau, nipe supu tena
Pilau lau, donne-moi de la soupe encore
Mashau shau kana sinema
Mashau shau comme un film
Yaani kanakula ndizi bila kumenya
C'est comme manger des bananes sans le savoir
Basi nipe za Kichina eeh, msamba
Alors donne-moi du chinois eeh, "msamba"
Fanya kama Bruce Lee, msamba
Fais comme Bruce Lee, "msamba"
Viuno vya kusigina eeh, msamba
Des hanches pour s'enivrer eeh, "msamba"
Fanya kama Jet Li
Fais comme Jet Li
Unavyocheza kwenye chaki
Comme tu danses sur la craie
Nataka hakataki
Je veux, je ne veux pas
Na chumbani
Et dans la chambre
Varangati kwaito
Varangati kwaito
Na pembeni
Et à côté
Katikati
Au milieu
Nakatachi bila wasi
Je te veux sans hésiter
Kamedata na Wasafi tittle-ooh
Je te veux avec Wasafi tittle-ooh
Ai katoto, moto moto
Oh mon enfant, c'est chaud chaud
Moto moto, moto moto
Chaud chaud, chaud chaud
Aii baikoko, moto moto
Oh mon amour, c'est chaud chaud
Joto joto, moto moto
Chaud chaud, chaud chaud
Kamata ukuta
Attrape le mur
Shuka mpaka chini take it down zungusha
Descends jusqu'en bas prends-le et tourne
Kamata nakupa
Attrape je te le donne
Nikishika nyundo nipasue kichupa
Si je tiens un marteau je vais casser la bouteille
Oweoo weooo
Oweoo weooo
Kina dada mko wapi?
Les filles êtes-vous?
Oweoo weooo
Oweoo weooo
Basi muingie kati
Alors entrez au milieu
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Tingishika, tingisha
Secoue, secoue





Writer(s): Donald Rwebangira


Attention! Feel free to leave feedback.