Rich Mavoko - Happy - translation of the lyrics into English

Lyrics and translation Rich Mavoko - Happy




Happy
Happy
Yeah It's keys baby
Yeah It's keys baby
Batman batman Mavoko
Batman batman Mavoko
Batman batman Ooyeyee
Batman batman Ooyeyee
Hiyo face kwa Mama copy
Hiyo face kwa Mama copy
Akicheka kama Selina,
Akicheka kama Selina,
Kwenye shavu ana kidoti
Kwenye shavu ana kidoti
Vidole vyote kapaka ina,
Vidole vyote kapaka ina,
Anashawishi nionge pochi
Anashawishi nionge pochi
Nitoe Bugana hata Carina,
Nitoe Bugana hata Carina,
Nitaonga hata Boti
Nitaonga hata Boti
Twende Zenji tutoke dinner
Twende Zenji tutoke dinner
Yani hapo kati
Yani hapo kati
Ni umtindio mtindio,
Ni umtindio mtindio,
Kama ni mikasi
Kama ni mikasi
Ni kwa wenzio wenzio
Ni kwa wenzio wenzio
We ndo unapendwa Na mimi
We ndo unapendwa Na mimi
Niyamini wewe
Niyamini wewe
Na miujiza ya Jini
Na miujiza ya Jini
Ila nchanga na wewe
Ila nchanga na wewe
Usiondoke ma baby (doro)
Usiondoke ma baby (doro)
Uuuh (doro)
Uuuh (doro)
Ukaniacha (doro)
Ukaniacha (doro)
Oooh Ma baby (doro)
Oooh Ma baby (doro)
Uka (doro)
Uka (doro)
Niacha (doro)
Niacha (doro)
Mababy you know (happy)
Mababy you know (happy)
Mababy na no digidi (happy)
Mababy na no digidi (happy)
Ukiwa na mimi kwa show (happy)
Ukiwa na mimi kwa show (happy)
Nitafune tu ka bigijii (happy)
Nitafune tu ka bigijii (happy)
I can show money bebito (can show money baby)
I can show money bebito (can show money baby)
Nifukishe ubani hata kilo (yeah yeah)
Nifukishe ubani hata kilo (yeah yeah)
Tukiwa ndichi yani wantaramera,
Tukiwa ndichi yani wantaramera,
Mguu juu nalipandisha na dera,
Mguu juu nalipandisha na dera,
Ntakuonga kakasimu ka Camera,
Ntakuonga kakasimu ka Camera,
Mi kwako hoi naisubiri machela
Mi kwako hoi naisubiri machela
Nimelamba aalai
Nimelamba aalai
Kopa alama ya upendo,
Kopa alama ya upendo,
Kifaranga najidai
Kifaranga najidai
Usije nipa magendo
Usije nipa magendo
Usiondoke Mababy (doro)
Usiondoke Mababy (doro)
Uuuh (doro)
Uuuh (doro)
Ukaniacha (doro)
Ukaniacha (doro)
Oooh Mababy (doro)
Oooh Mababy (doro)
Uka (doro)
Uka (doro)
Niacha (doro)
Niacha (doro)
Mababy You Know (happy)
Mababy You Know (happy)
Mababy Na No Digidi (happy)
Mababy Na No Digidi (happy)
Ukiwa Na Mimi Kwa Show (happy)
Ukiwa Na Mimi Kwa Show (happy)
Nitafune Tu Kabigijii (happy)
Nitafune Tu Kabigijii (happy)
(Happy happy)
(Happy happy)
(Happy happy)
(Happy happy)






Attention! Feel free to leave feedback.