Angel City Chorale - Baba Yetu (Live) - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction Angel City Chorale - Baba Yetu (Live)




Baba Yetu (Live)
Our Father (Live)
Baba yetu, yetu uliye
Our Father, who art
Mbinguni yetu, yetu, amina!
In heaven, Amen!
Baba yetu, yetu, uliye
Our Father, who art
Jina lako litukuzwe
Hallowed be thy name
Baba yetu, yetu uliye
Our Father, who art
Mbinguni yetu, yetu, amina!
In heaven, Amen!
Baba yetu, yetu, uliye
Our Father, who art
Jina lako litukuzwe
Hallowed be thy name
Utupe leo chakula chetu
Give us this day our daily bread
Tunachohitaji utusamehe
We need you to forgive us
Makosa yetu, hey!
Our trespasses, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
As we forgive those
Waliotukosea usitutie
Who trespass against us, lead us not
Katika majaribu, lakini
Into temptation, but
Utuokoe, na yule Mwovu, milele!
Deliver us, from evil, forever!
Baba yetu, yetu uliye
Our Father, who art
Mbinguni yetu, yetu, amina!
In heaven, Amen!
Baba yetu, yetu, uliye
Our Father, who art
Jina lako litukuzwe
Hallowed be thy name
Baba yetu, yetu uliye
Our Father, who art
Mbinguni yetu, yetu, amina!
In heaven, Amen!
Baba yetu, yetu, uliye
Our Father, who art
Jina lako litukuzwe
Hallowed be thy name
Ufalme wako ufike utakalo
Thy kingdom come, thy will be done
Lifanyike duniani kama mbinguni. (Amina)
On earth as it is in heaven. (Amen)
Baba yetu, yetu uliye
Our Father, who art
Mbinguni yetu, yetu, amina!
In heaven, Amen!
Baba yetu, yetu, uliye
Our Father, who art
Jina lako litukuzwe
Hallowed be thy name
Baba yetu, yetu uliye
Our Father, who art
Mbinguni yetu, yetu, amina!
In heaven, Amen!
Baba yetu, yetu, uliye
Our Father, who art
Jina lako litukuzwe
Hallowed be thy name
Utupe leo chakula chetu
Give us this day our daily bread
Tunachohitaji utusamehe
We need you to forgive us
Makosa yetu, hey!
Our trespasses, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
As we forgive those
Waliotukosea usitutie
Who trespass against us, lead us not
Katika majaribu, lakini
Into temptation, but
Utuokoe, na yule Mwovu, milele!
Deliver us, from evil, forever!
Baba yetu, yetu, uliye
Our Father, who art
Jina lako litukuzwe
Hallowed be thy name
Baba yetu, yetu, uliye
Our Father, who art
Jina lako litukuzwe
Hallowed be thy name





Writer(s): Christopher Chiyan Tin


Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.