Paroles et traduction Christian Bella - Si Ulisema
Добавлять перевод могут только зарегистрированные пользователи.
Sitajuta
kupendaa
ingawa
yaumiza
moyoo
I
can't
stop
loving
you
even
though
it
hurts
my
heart
Ninaumizwa
kukosaa
na
kupewa
likizooo
It
hurts
me
to
lose
you
and
be
given
a
holiday
Mimi
sina
makosa
I
have
done
nothing
wrong
Mapenzi
ya
hofu
ni
kawaida
Fearful
love
is
a
common
thing
Ni
heri
ukihisi
jambo
ulichunguze
upate
uhakika
It's
better
to
feel
something
and
investigate
it
to
be
sure
Mimiii
sina
makosa
mapenzi
ya
hofu
ni
kawaida
I
have
done
nothing
wrong,
fearful
love
is
a
common
thing
Ni
heri
ukihisi
jambo
ulichunguze
upate
uhakika
It's
better
to
feel
something
and
investigate
it
to
be
sure
Si
ulisema
mwenyewe
nisipige
simu
wala
kutuma
meseji
Didn't
you
say
yourself
that
I
shouldn't
call
or
text
you
Na
ukasema
kwamba
hupendi
kuniona
unaweza
tokwa
machozi
And
that
you
said
you
didn't
want
to
see
me
as
you
might
cry
Tukigombana
tunaelewana
mwisho
tunapuuzia
When
we
fight,
we
understand
each
other
and
end
up
ignoring
it
Hili
limekaa
haifai
kunyamaziwa
This
is
not
something
that
should
be
kept
silent
Tukigombana
tunaelewana
mwisho
tunapuuzia
When
we
fight,
we
understand
each
other
and
end
up
ignoring
it
Hili
limekaa
haifai
kunyamaziwa
This
is
not
something
that
should
be
kept
silent
Wivu
ninao
mi
binadamu
nimekamilika
I
am
human,
I
am
prone
to
jealousy
Ingawa
muda
sinao
kila
dakika
naijutiaa
Although
I
have
no
time,
I
regret
every
minute
Sijui
kwa
nini
tunakinzana
I
don't
know
why
we
disagree
Akati
najua
tunapendana
Sometimes
I
know
we
love
each
other
Hatua
zetu
zinapishana
Our
steps
are
out
of
sync
Kwenye
safari
yetu
ya
mapenzi
On
our
journey
of
love
Si
ulisema
mwenyewe
nisipige
simu
wala
kutuma
meseji
Didn't
you
say
yourself
that
I
shouldn't
call
or
text
you
Na
ukasema
kwamba
hupendi
kuniona
unaweza
tokwa
machozi
And
that
you
said
you
didn't
want
to
see
me
as
you
might
cry
Tukigombana
tunaelewana
mwisho
tunapuuzia
When
we
fight,
we
understand
each
other
and
end
up
ignoring
it
Hili
limekaa
haifai
kunyamaziwa
This
is
not
something
that
should
be
kept
silent
Tukigombana
tunaelewana
mwisho
tunapuuzia
When
we
fight,
we
understand
each
other
and
end
up
ignoring
it
Hili
limekaa
haifai
kunyamaziwa
This
is
not
something
that
should
be
kept
silent
Lenye
uhakika
tulifate
(Ye!
ye)
Let's
follow
what's
certain
(Yeah!
yeah)
Lisilouhakika
tuliache
(Ye!
ye)
Let's
leave
what's
uncertain
(Yeah!
yeah)
Si
unajua
nakupenda
You
know
I
love
you
Si
unajua
achana
nao
You
know,
leave
them
alone
Si
unajua
nakupenda
You
know
I
love
you
Juujuu
achana
naoo!
Juujuu,
leave
them
alone!
Si
ulisema
mwenyewe
nisipige
simu
wala
kutuma
meseji
Didn't
you
say
yourself
that
I
shouldn't
call
or
text
you
Na
ukasema
kwamba
hupendi
kuniona
unaweza
tokwa
machozi
And
that
you
said
you
didn't
want
to
see
me
as
you
might
cry
Tukigombana
tunaelewana
mwisho
tunapuuzia
When
we
fight,
we
understand
each
other
and
end
up
ignoring
it
Hili
limekaa
haifai
kunyamaziwa
This
is
not
something
that
should
be
kept
silent
Tukigombana
tunaelewana
mwisho
tunapuuzia
When
we
fight,
we
understand
each
other
and
end
up
ignoring
it
Hili
limekaa
haifai
kunyamaziwa
This
is
not
something
that
should
be
kept
silent
Hilo
halifai
kunyamaziwa
This
should
not
be
kept
silent
Hilo
halifai
kunyamaziwa
This
should
not
be
kept
silent
(Hilo
haifai)!
Haifaiiiii
(This
should
not
be)!
Not
at
all
Hilo
halifai
kunyamaziwa
This
should
not
be
kept
silent
Évaluez la traduction
Seuls les utilisateurs enregistrés peuvent évaluer les traductions.
Writer(s): Christian Bella
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.