Conboi Cannabino - GRIND ALL DAY paroles de chanson

paroles de chanson GRIND ALL DAY - Conboi Cannabino

Huh, nipo kwenye zone, I swear I feel this moment
Luffa kwenye beat yeah, you know he's a coldest
Gotta grind all day yeah, we keep recording
Hakuna kupumzika mpaka siku we touring
Life's not boring, ukituona hatuna worry
Stoner lifestyle si unajua we've been smoking
And we've been grind all day, yeah that's important
Fly motherfuckers kama vitu, we imported
We will never hold back, maybe you should know that
Tumeanza kama utani bila hata nguvu ya soda
Bag full of money kitu ambacho tunachokiona
Usione tu tunakesha, tunapiga tu mangoma
Me and my nigga Luffa kwenye hu mziki we go way way back
Talking down on a side, no we don't play that
Keep it real ndio maana unaona watu wanauwa every track
Thats a fact, na pia wanatujua we don't kiss ass
Infact we made a classic, ila watu they sleep on that
Waliona kama tutabuma ila bado we kill these raps
Siohofii hata wakibana mwanangu we goin' back to back
No cap everytime niki-spit ujue ni rap
That's why we do magic kila tukipiga track, huh
Wanajua ngekewa ila si' tunawaacha wanahamaki, yeah
Me and Forelo utasema tumetoka space
Na hii ni ka' kupiga dunk on yo face, tunawapa stress
Kwanza music tunajua so hauwezi kutusumbua
Si' hatufanyi kiki wenyewe mnajua tumeuchubua, yeah
Nyimbo zinaitika zenyewe tunawasumbua
Tukiwa Studio na mwanangu tunakichafua (tunakichafua)
Huh, nipo kwenye zone, I swear I feel this moment
Luffa kwenye beat yeah, you know he's a coldest (coldest)
Gotta grind all day yeah, we keep recording (-cording)
Hakuna kupumzika mpaka siku we touring
Life's not boring, ukituona hatuna worry
Stoner lifestyle si unajua we've been smoking
And we've been grind all day, yeah that's important
Fly motherfuckers kama vitu, we imported
Huh, never been promoted, always been devoted
Kuzingatia kabisa our minds ziko open
Kitu tunaambizana kilasiku tusichoke
Tuamini ipo siku kila kitu itakuwa okay
Piga tu mapini ghetto stock iko loaded
Utaona si' machizi daily si' we put in work in
Kula ganja kali mpaka unaanza hadi kuchoking
Wanajua si' ni wakali sasa kwa nini wasituroge
Praise to the Allah, we don't have to worry 'bout nada
Isingekuwa juhudi na dua ingekuwa msala
Shauri ni moja niliopewa, tujue kukaza
Na hii chemistry ni kubwa, me and my brother
Ndio maana tunawashangaza usiku wanapolala wanatuwaza
Hawawezi kushindana kwa muziki tutawachakaza
Tag ninalo ila hata halikunilemaza
Naweza post link kwa bio bila hata ya kutangaza
'Cause we on it watu wana comment
Luffa kwenye beat yeah, you know he's a coldest
Gotta grind all day yeah, we keep recording
Hakuna kupumzika mpaka siku we touring
Life's not boring, ukituona hatuna worry
Stoner lifestyle si unajua we've been smoking
And we've been grind all day, yeah that's important
Fly motherfuckers kama vitu, we imported

Writer(s): Rashid Salim Goda

Conboi Cannabino - Street Ties
Album Street Ties
date de sortie
24-07-2022

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.