Dena Mwana - Roho yangu - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction Dena Mwana - Roho yangu




Roho yangu
My Spirit
Sijuwe nitete ye je
I don't know what to tell you
Kwani maneno ya mimenipita aah
Because your words have overcome me
Nguvu na Ukwabwa wa pendo lako
The power and the truth of your love
Huwezi ku pimwa
Cannot be measured
Hujuwa niya zangu uuh
You know my thoughts
Baba hujuwa uga wangu ouuh
Father, you know my path
Maneno yangu machache kukueleza
My words are few to express to you
Upendo wangu kwako
My love for you
Sikiliza roho yangu baba
Listen to my spirit, Father
Moyo wangu hukuimbiya
My heart sings to you
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Hear this song of love
Wa mutoto uliye mkombowa aah
Of the child you have redeemed
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
I will take my words on high
Kutangaza ukubwa wako
To proclaim your greatness
Kwa kweli siwezi
I truly cannot
Kusema chochote
Say anything
Baba sikiya Roho Yangu
Father, hear my Spirit
Aaaaaaaah
Aaaaaaaah
Aaaaaaah ouh aaaah
Aaaaaaah ouh aaaah
Sasa kama nvuwa
Now like rain
Maneno yangu yangu tiririka aah
My words are flowing
Ninge Kuwa na minugu mikononi mwangu
If I had wings in my hands
Singeweza kusema
I could not say
Ila ndani ya roho yangu ooouh
But in my spirit
Baba hujuwa yote eiiii
Father, you know everything
Aksante kwa maisha ukweli njiya
Thank you for life, the truth, the way
Baba ubarikiwe
Father, be praised
Sikiliza roho yangu baba
Listen to my spirit, Father
Moyo wangu hukuimbiya
My heart sings to you
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Hear this song of love
Wa mutoto uliye mkombowa aah
Of the child you have redeemed
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
I will take my words on high
Kutangaza ukubwa wako
To proclaim your greatness
Kwa kweli siwezi
I truly cannot
Kusema chochote
Say anything
Baba sikiya Roho Yangu
Father, hear my Spirit
Sikiliza roho yangu baba
Listen to my spirit, Father
Moyo wangu hukuimbiya
My heart sings to you
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Hear this song of love
Wa mutoto uliye mkombowa aah
Of the child you have redeemed
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
I will take my words on high
Kutangaza ukubwa wako
To proclaim your greatness
Kwa kweli siwezi
I truly cannot
Kusema chochote
Say anything
Baba sikiya Roho Yangu
Father, hear my Spirit
Humm
Humm
Kwa kweli siwezi
I truly cannot
Kusema chochote
Say anything
Baba sikiya Roho Yangu
Father, hear my Spirit
Baba baaaaaba
Father baaaaaba
Baaaaaba baaaaaaaaaaaaaaaa
Baaaaaba baaaaaaaaaaaaaaaa
Baaaaaaaaa ah
Baaaaaaaaa ah
Baabababababa
Baabababababa
Kweli siwezi
Truly I can't
Kusema chochote eii
Say anything eii
Baba wangu
My Father
Babaaa
Babaaa
Kwa kweli siwezi
I truly cannot
Sema chochote
Say anything
Sikiya Roho Yangu
Hear my Spirit





Writer(s): dena muwayi mwanakitata


Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.