Diamond Platnumz - Kizai Zai - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction Diamond Platnumz - Kizai Zai




Kizai Zai
Kizai Zai (English Translation)
Yanaanza kama safari
It starts like a journey
Twende fulani ukaone
Let's go somewhere, you'll see
Kumbe yana nguvu ni hatari
Turns out it's powerful and dangerous
Ukishanasa ndo uponi eeh
Once you're caught, that's it, you're done
Yanaanza kama safari
It starts like a journey
Twende fulani ukaone
Let's go somewhere, you'll see
Kumbe yana nguvu ni hatari
Turns out it's powerful and dangerous
Ukishanasa ndo uponi eeh
Once you're caught, that's it, you're done
Mungu aliumba dunia na maajabu yake
God created the world and its wonders
Ya mwenzako sikiskia omba ya sikupate
Don't listen to your friend's story, pray you don't experience it
Eii mungu aliumba dunia na maajabu yake
Oh, God created the world and its wonders
Ya menzako sikia, ila yasikupate ehhh
Listen to your friend's story, but don't let it happen to you
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Nyie mapenzi yanauma
You, love hurts
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Yanaumiza
It hurts
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Ooh kizunguzungu
Oh, dizziness
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Jama mapenzi mabaya
Friend, love is bad
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Waweza gombana na ndugu
You can fight with your brother
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Rafiki akawa mbaya
Your friend turns bad
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Kazi ukaona chigu
Work feels like a burden
(Kiziazai)
(Kiziazai)
Nyie mapenzi karaha
You, love is disgust
Ehhh sumere waa ehee
Ehhh sumere waa ehee
Grante grante mmmh
Grante grante mmmh
Yanayima furaha mmh
It denies happiness mmh
Yanakosasha raha ehh
It reduces pleasure ehh
Yanayima furaha mmh
It denies happiness mmh
Yanakosasha raha mmmh
It reduces pleasure mmmh
Tena usiombe kupenda ulie mpenda ajue
Don't pray to love someone who knows you love them
Tena usiomba kupenda ulie mpenda ajue
Don't pray to love someone who knows you love them
Amani utakosa, karaha jamani eeeh
You will lose peace, disgust, my friend eeeh
Dunia chungu kufa utatamani eeeh
The world is bitter, you'll wish for death eeeh
Eii mungu aliumba dunia na maajabu yake
Oh, God created the world and its wonders
Ya mwenzako sikiskia omba yasikupate
Don't listen to your friend's story, pray it doesn't happen to you
Eii mungu aliumba dunia na maajabu yake ehhh
Oh, God created the world and its wonders ehhh
Ya mwenzako sikia, ila yasikupate
Listen to your friend's story, but don't let it happen to you
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Nyie mapenzi yanauma
You, love hurts
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Yanaumiza
It hurts
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Ooh kizunguzungu
Oh, dizziness
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Jama mapenzi mabaya
Friend, love is bad
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Waweza gombana na ndugu
You can fight with your brother
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Rafiki akawa mbaya
Your friend turns bad
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Kazi ukaona chugu
Work feels like a burden
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Nyie mapenzi karaha
You, love is disgust
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Baba na mama watake
Father and mother will want you
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Chakula tamu ni sumu
Sweet food is poison
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Mashoga sasa wanafiki
Friends are now hypocrites
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Kulala nanyi ni ngumu
Sleeping with you is difficult
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Eii yanauma
Oh, it hurts
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Tena yanauma sanaa
It really hurts
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Yanauma
It hurts
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Ooh yanauma sanaa
Oh, it really hurts
Ayoo hahaa
Ayoo hahaa
(Kizaizai)
(Kizaizai)
And this is me from Tanzania
And this is me from Tanzania
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Diamond Platnumz baby
Diamond Platnumz baby
(Kizaizai)
(Kizaizai)
In See Records
In See Records
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Its Italy baby
Its Italy baby
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Hollaa
Hollaa
(Kizaizai)
(Kizaizai)
See me
See me
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Suka suka suka suka suka suka suka suka
Suka suka suka suka suka suka suka suka
Suka suka suka suka suka suka suka suka
Suka suka suka suka suka suka suka suka
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Ahaa suka ajaa
Ahaa suka ajaa
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Kata aga eeh
Kata aga eeh
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Kupu hoaa hoaa hoaa hoaa hoaa wee
Kupu hoaa hoaa hoaa hoaa hoaa wee
(Kizaizai)
(Kizaizai)
Thank you
Thank you






Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.