Diamond Platnumz - Kizaizai (Remix) paroles de chanson

paroles de chanson Kizaizai (Remix) - Diamond Platnumz



oooooookh
yanaanza kama safari
twende furani ukaone
kumbe yananguvu ni hatar
ukishanasa ndo upone*2
mungu aliumba dunia na
maajabu yake
ya mwenzako ckia omba ya ckupate *2
"kizaizai" ona mapenzi yanauma
"kizaizai" yanaumiza
"kizaizai" ooooh kizunguzungu
"kizaizai" jama mapenzi mabaya
"kizaizai" waweza gombana na ndugu
"kizaizai" rafiki akawa mbaya
"kizaizai" kazi ukaona chugu
"kizaizai" eeeeeeh mapenzi karaha
eeeeeeeeeeeh eeeeeeeeh eeeeeeh
hakunaaaa eeeeeh
yananyima furaha eeeeh
yanakosesha rahaaa eeeeh
yananyimaaa furaha eeeh eeeh
yanakosesha rahaaaa hey
tena usiombe kupenda unae mpenda ajue*2
amani utakosa karaha jamani eeeh
dunia chungu kufa utatamani eeeh
mungu aliumba dunia na maajabu yake
ya mwenzako ckia omba yasikupate ooh
mungu aliumba dunia na maajabu yke
ya mwenzako ckia ila yasikupate
"kizaizai" mm mapenzi yanauma
"kizaizai" yanaumizaa
"kizaizai" oooh kizunguzungu
"kizaizai" jama mapenzi mabaya
"kizaizai" waweza gombana na ndugu
"kizaizai" rafiki akawa mbaya
"kizaizai" kazi ukaona chungu
"kizaizai" iiih mapenzi karaha
eeeeeeeeh eeeeeeehh
hakuna eeeeeh
basi nitulize nitulize nitulize nitulize nitulize nitulize nibaki nimetulia
nitulize nitulize nitulize nitulize nitulize nitulize nibaki nimetulia
linnah nitulize nitulize nitulize nitulize nitulize nitulize nibaki nimetulia
nani na ugonjwa (wa moyo wa moyo)
ooooh sili silali (wamoyo wa moyo)
oooh sanga tafadhali (wa moyo wa moyo)
ni poze hii hali (wa moyo wa moyo)
"kizaizai" hiii mapenzi yanauma
"kizaizai"yanaumiza
"kizaizai"oooh kizunguzungu
"kizaizai"jama mapenzi mabaya
"kizaizai"waweza gombana na ndugu
"kizaizai"rafiki akawa mbaya
"kizaizai"kazi ukaona chungu
"kizaizai"hii mapenzi karaha
"kizaizai kizaizai kizaiAi"



Writer(s): diamond platnumz


Diamond Platnumz - Kizaizai (Remix)
Album Kizaizai (Remix)
date de sortie
13-12-2012





Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.