paroles de chanson Lala Salama - Diamond Platnumz
Lala
salama
Matatizo,
chuki,
lawama
Ukilala
lala
salama
Kumbatia
picha
yangu
Kama
ukinikumbuka
sana
Nipigie
simu
yangu
Ukii,
ukilala
lala
salama
Kumbatia
picha
yangu
Matatizo
chuki
lawama
Vumilia
mpenzi
wangu
Najua
wivu
ndo
mapenzi
Ila
chunga
usizidi
Si
ninajua
kwako
sijiwezi
Ila
dhiki
imebidi
Mi
nili
tamani
sana
mi
kuwa
nawe
Tuwe
wote
usiku
na
mchana
Kilichofanya
mi
nipagawe
Sina
chochote
chakuwalisha
wana
Niliupokea
kwa
unyonge
msiba
wa
kaka
Bona
Ilee
barua
yako
ya
mwisho
Ilinitonesha
vidonda
Usije
ni
lie
kipenzi
changu
Ukadhani
nimekumbwa
na
pepo
la
starehe
Mambo
bado
magumu
kwangu
Afadhali
hata
ya
jana
ya
kesho
niombee
Ukilala
lala
salama
Kumbatia
picha
yangu
Kama
ukinikumbuka
sana
Nipigie
simu
simu
yangu
Ukii,
ukilala
lala
salama
Kumbatia
picha
yangu
Matatizo,
chuki,
lawama
Vumilia
mpenzi
wangu
Ile
kua
uone
nilidhani
maghorofa
Aah
akumbe
mwana
ukome
Hakuna
cha
kuokota
Mi
bado
nakaza
moyo
changu
kipenzi
Ila
naumia
kwakua
mwenyewe
Natamani
ila
siwezi
nazitafuta
nije
kula
nawewe
Msalimu
mama
nyumbani
Usiseme
kama
nahenya
(Nchai)
Mfiche
mpe
imani
karibu
ntakuoa
chema
Usije
ni
lie
kipenzi
changu
Ukadhani
nimekumbwa
na
pepo
la
starehe
Mambo
bado
magumu
kwangu
Afadhali
hata
ya
jana
ya
kesho
niombee
Ukilala
lala
salama
kumbatia
picha
yangu
Kama
ukinikumbuka
sana
nipigie
simu
yangu
Ukii,
ukilala
lala
salama
Kumbatia
picha
yangu
Matatizo,
chuki,
lawama
Vumilia
mpenzi
wangu
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.