paroles de chanson Mbagala - Diamond Platnumz
Mhhh,
mmmhhhh
Busara
na
upole
Na
hekima
niliyorithi
kutoka
kwa
mama
yangu,
Mama
Vyote
hukuvijali,
huk'ona
silingani
kabisa
kuwa
na
wewe
Kwa
kuti
na
mkole,
ukakata
kabisa
na
shina
la
penzi
langu
mama
Eti
kisa
maali,
ukaona
bora
uniache
mimi
na
uolewe
Ile
siku
shekhe
namuona
anachoma
ubani
Unavishwa
pete
unakua
mke
wa
fulani
N'liumia
sanaa,
sanaa
Ile
siku
shekhe
namuona
anachoma
ubani
Unavishwa
pete
unakua
mke
wa
fulani
Niliumia
sanaa,
niliumia
sanaa,
sanaa
2x
Tatizo
kwetu
mbagala,
hapa
nyumba
mbele
jalalaaa
Tatizo
kwetu
mbagala,
uk'ona
mapenzi
siwezi
Ungejua
jinsi
gani
Machozi
n'livyolia
kwa
uchungu
wa
penzi
langu
na
Mwenzio
jinsi
gani,
vile
nimeumia
moyoni
Hata
kupendwa
sitamani
Utamu
wa
mapenzi
mwenzako
umekula
kwangu
ma
Mwenzio
sitamaani,
hata
raha
tena
mi
sioni
Naskia
hivi
sasa
una
mtoto
anaitwa
mamu
Vile
akinuna
mpaka
tabasamu
M'mefanana
sana.a,
sana.a
Mi
mwenzako
tena
mapenzi
mi
sina
hamu
Tena
nna
mpango
wa
kuhama
Dar
Es
Salaam
Nataka
niende
mba.ali,
niepuke
vita
na
walimwengu
Mi
mwenzenu
siwezi
Repeat
2x
Mbagala,
mbagala,
mbagala,
mbagala
Uk'ona
mapenzi
siwezi
Mbagala
(mbagala),
mbagala
(mbagala),
mbagala
(mbagala),
mbagala
Uk'ona
mapenzi
siwezi
Repeat
2x
I'm
back,
ladies,
I'm
back
Bob
Junior
Mr.
Chocolate
Flava
Yo,
I'm
back,
Diamond,
I'm
back
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.