Diamond Platnumz - Mdogomdogo - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction Diamond Platnumz - Mdogomdogo




Mdogomdogo
My Little One
Nimetembea tembea Bara na visiwani…
I've traveled across the mainland and islands…
ila nikajionea we ndio my Number one.
but I realized you're my Number one.
Natamani nikupe ila sina
I wish I could give you everything, but I don't have much,
nimejaliwa upendo heshima.
I'm blessed with love and respect.
Maneno yao matamu yasikuibe mama….
Don't let their sweet words deceive you, my love….
si unajua binadamu wabaya sana…
you know people are so wicked…
Wanawivu hao, wachonganishi hao (×2)
Those envious ones, those troublemakers (×2)
usije niacha kwa unyonge nachechemea…
Don't leave me in weakness, limping…
Utamu wa finyango na tonge ukanielemea…
The sweetness of youth and passion has overwhelmed me…
Usije niacha kwa Unyonge nachechemea…
Don't leave me in weakness, limping…
Utamu wa finyango na tonge ukala kwangu…
You tasted the sweetness of youth and passion with me…
{Chorous}
{Chorus}
Mwendaazimu kaingiaje!
How did the wanderer get in!
(Asije kitorondo)
(May it not be a trap)
Mwendaazimu kaingiaje!
How did the wanderer get in!
(Akanikatia na Uhondo)
(He cut me off with pleasure)
Mwendaazimu kaingiaje!
How did the wanderer get in!
(Kitorondo kitorondo eeh)
(A trap, a trap, oh)
Mwendaazimu kaingiaje!
How did the wanderer get in!
(Ikinasa mpaka uondoe)
(It's stuck until you remove it)
Mwendaazimu kaingiaje
How did the wanderer get in
(Oooh Kitorondo)
(Oooh, a trap)
Mwendaazimu kaingiaje!
How did the wanderer get in!
(Ikawa nyumba ya shetani)
(It became the devil's house)
Mwendaazimu kaingiaje!
How did the wanderer get in!
Kidogo nikileta Mumypti usinune.
If I bring a little Mummy, don't complain.
Nikumbatie unikiss nijivune.
Hug me, kiss me, make me proud.
Kesho nizidishe ufanisi nijitumee.
Tomorrow, I'll work harder and send myself.
Tujenge hadi nyumba Paris Wanunee….
Let's build a house in Paris, let them envy….
Vimichezomichezo vya Saloon chunga wakipanga…
Beware of the saloon games they plan…
Wasije kukufunza vya uhuni ukawa unadanga…
Don't let them teach you mischief and make you wander…
Ukaanza safari Mchana jua kali, usiku haulali ayaah! (×2)
Starting a journey in the hot sun, sleepless nights, oh no! (×2)
Wanawivu hao, wachonganishi hao (×2)
Those envious ones, those troublemakers (×2)
Ukaanza safari, Mchana juakali, Usiku haulali Aah yaya.!
Starting a journey, hot sun, sleepless nights, oh no!.
{Chorous}
{Chorus}
Mwendaazimu kaingiaje!
How did the wanderer get in!
(Asije kitorondo)
(May it not be a trap)
Mwendaazimu kaingiaje!
How did the wanderer get in!
(Akanikatia na Uhondo)
(He cut me off with pleasure)
Mwendaazimu kaingiaje!
How did the wanderer get in!
(Kitorondo kitorondo eeh)
(A trap, a trap, oh)
Mwendaazimu kaingiaje!
How did the wanderer get in!
(Ikinasa mpaka uondoe)
(It's stuck until you remove it)
Mwendaazimu kaingiaje
How did the wanderer get in
(Oooh Kitorondo)
(Oooh, a trap)
Mwendaazimu kaingiaje!
How did the wanderer get in!
(Ikawa nyumba ya shetani)
(It became the devil's house)
Mwendaazimu kaingiaje!
How did the wanderer get in!
Mdogomdogo
My little one
Mdogomdogo (Usijali mama)
My little one (Don't worry, my love)
Mdogomdogo (We wacha waongee)
My little one (Let them talk)
Mdogomdogo (Usiku na mchana)
My little one (Night and day)
Mdogomdogo (Mpaka wanyongee)
My little one (Until they get tired)
Mdogomdogo (Na ntakupenda sana)
My little one (And I'll love you so much)
Mdogomdogo (Mahaba ninyongee)
My little one (May love weaken them)
Mdogomdogo (sijali lawama)
My little one (I don't care about blame)
Mdogomdogo (acha wanizonge)
My little one (Let them gossip about me)
Mdogomdogo (kachirikachiri)
My little one (Little by little)
Mdogomdogo (kachiri we ngao yangu)
My little one (You're my shield)
Mdogomdogo (mwenzako taabani)
My little one (Your partner is in trouble)
Mdogomdogo (nilindie roho yangu)
My little one (Protect my soul)
Mdogomdogo (wasije wa furani)
My little one (May they not come near the fire)
Mdogomdogo (wakaiba tamu yangu)
My little one (And steal my sweetness)
{Ending Chrous}
{Ending Chrous}
Mwendaazim kaingiaje
How did the wanderer get in
Mwendaazim kaingiaje
How did the wanderer get in
Mwendaazim kaingiaje
How did the wanderer get in
Mwendaazim kaingiaje
How did the wanderer get in
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo)
How did the wanderer get in (my little one)
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo)
How did the wanderer get in (my little one)
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo)
How did the wanderer get in (my little one)
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo)
How did the wanderer get in (my little one)






Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.