Frank - Nyosha Mkono Wako - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction Frank - Nyosha Mkono Wako




Nyosha Mkono Wako
Stretch Out Your Hand of Mercy
Nyosha mkono wako
Stretch out your hand of mercy
Wa rehema
Of grace
Niguseeee
Heal meeee
Nipone
Deliver me
Nyosha mkono wako
Stretch out your hand of mercy
Wa rehema
Of grace
Niguseeee!
Heal meeee!
Niiponeee!
Deliver meee!
(Rudia...)
(Chorus...)
Maadui zangu wananidhihakii
My enemies mock me
Wanauliza Mungu wako yuko wapi
They ask where is your God
Inuka ndani yangu ujitukuze
Arise within me and glorify yourself
Niguuuuseeee eeeh baba niiponee
Heeeeal meeee oh father, deliver me
Ooooh...
Ooooh...
(RUDIA. KIITIKIO...)
(REPEAT. CHORUS...)
Kwa kupigwa kwako Yesu mimi nimepona
I am healed by your stripes
Ahadizako niza kweli na mileee
Your promises are true and eternal
Ulituma neno lako mimi niiponeee
You sent your word to heal me
Niguse baba niponeee
Touch me father, heal meee
(RUDIA. KIITIKIO...)
(REPEAT. CHORUS...)
(RUDIA. KIITIKIO...)
(REPEAT. CHORUS...)






Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.