Karen - Washa - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction en anglais Karen - Washa




Washa
Washa
Aaaaah aaaah
Aaaaah aaaah
Eleleeee
Eleleeee
Hhhmmm
Hhhmmm
Kwanza shikamoo mapenzi
Hello, my love
Utamu wako naujuaga mwenyewe
I know you're sweet
Kwenda less mi siwezi
I can't leave you
Usiniburuze ukaniacha mwenyewe
Don't abandon me
Nimepata mwandani wangu
I've found my soulmate
Ndagafijo
My soulmate
Kichale cha moyo wangu
The one my heart desires
Aaaaah
Aaaaah
Aaaaah
Aaaaah
Uwanjani kumenoga mapambo
The field is beautifully decorated
Na doti za vitenge nikamtunze somo
With colorful vitenge
Longo longoo (longolongo)
Longo longoo (longolongo)
Tuzifungie pembeni
Let's keep them out of our way
Mama mwali yu wapi
Where are the maidens
Aje tulisakate ngomaa
Come, let's dance
Zile ngo ngo ngo (ngongongo)
Zile ngo ngo ngo (ngongongo)
Zimepata funga semi
They've been locked away
Nitoe kimasomaso
Let me show you my steps
Zikome zao nongwaaa
Let them watch and be amazed
Aaaaah baby eeeh
Aaaaah baby eeeh
Washa washa (nione raha)
Light it up (show me a good time)
Washa (tuyazike maneno)
Light it up (let's make some noise)
Washa washa (wajikunie pembeni)
Light it up (make them jealous)
Wapate habari hata
Let them know what they're missing
Kama hawana bundle
Even if they don't have data
Washa washa (yamekua)
Light it up (it's on)
Washa (Leo ndio Leo)
Light it up (today is the day)
Washa washa (wajikunie pembeni)
Light it up (make them jealous)
Mmmmh hhhmmm
Mmmmh hhhmmm
Mapenzi bidhaa isoisha thamani
Love is a priceless gift
Na makeke ya chumbani
Like a sweet treat in bed
Kudamshi kitandani (burudaani)
To wake up to (a delight)
Zogo usiendekeze
Don't be noisy
Wake ulimi peremende yani
Your tongue is like candy
Ubani kuchota tia kwenye moto
Like incense burning
Yasije nitesa mazoea
Don't let familiarity breed contempt
Moyo nikaja kuuchua
And leave my heart broken
Pingu ukazifungua
And break my bonds
Wapate la kuongea (majirani)
Let the neighbors talk
Longo Longo (longolongo)
Longo Longo (longolongo)
Tuzifungie pembeni
Let's keep them out of our way
Mama mwali yu wapi
Where are the maidens
Aje tulisakate ngoma
Come, let's dance
Zile ngo ngo ngo
Zile ngo ngo ngo
Zimepata fungasemi
They've been locked away
Nitoe kimasomaso
Let me show you my steps
Zikome zao nongwa
Let them watch and be amazed
Aaaaah baby eeeehh
Aaaaah baby eeeehh
Washa washa (nione raha)
Light it up (show me a good time)
Washa (tuyazike maneno)
Light it up (let's make some noise)
Washa washa (wajikunie pembeni)
Light it up (make them jealous)
Wapate habari hata kama
Let them know what they're missing
Hawana bundle
Even if they don't have data
Washa washa (yamekua)
Light it up (it's on)
Washa (Leo ndio Leo)
Light it up (today is the day)
Washa washa (wajikunie pembeni)
Light it up (make them jealous)
Nishike nganganga
Hold me tight
Usije kuchomoka (doze dozee)
Don't let me go (doze dozee)
Aaaaah aaah (doze dozeee)
Aaaaah aaah (doze dozeee)
Ooooh Habib (doze doze)
Ooooh Habib (doze doze)
Chunga na ulimi
Be careful with your words
Usije kunikata (doze doze)
Don't hurt me (doze doze)
Aaaaah aaaaah (doze doze)
Aaaaah aaaaah (doze doze)
Hhhhm hhhmm (doze dozeee)
Hhhhm hhhmm (doze dozeee)
Oooooh baby eeeeh
Oooooh baby eeeeh





Writer(s): Karen


Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.