Kidum Kibido - Kichuna - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction Kidum Kibido - Kichuna




Kichuna
Kichuna
Nakuomba mpenzi uniskize
I beg you, my beloved, to hear me
Tafadhali baby tuliza moyo
Please, baby, calm your heart
Kwa kweli niko wako
I am truly yours
Hiyo usiwe na shaka
Of that, have no doubt
Wewe kaa ukitabasamu
Always keep a smile on your face
Mara tu ukiniona
Whenever you see me
Penzi letu halina kasoro
Our love has no flaws
Mimi na wee 'tapendana kiroho
You and I, we'll love each other spiritually
Akusihi, tuliza moyo
I beseech you, calm your heart
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Celebrate, rejoice, our love, baby
Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu
Dance, sing, my beloved, my Kichuna
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Celebrate, rejoice, our love, baby
Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu
Dance, sing, my beloved, my Kichuna
Niskize baby kwa makini
Listen to me, baby, carefully
Kwa kweli mimi nimekutamani
I have truly desired you
Kilichoko mpenzi
Here's what's in my heart, beloved
Wewe nipe nafasi
Give me a chance
Nikupe penzi hujawahi pewa
I'll give you love like you've never had before
Nikuguse mahali hujawahi guswa
I'll touch you where you've never been touched
Kwa maana
For my love
Penzi langu halina doa
My love is flawless
Kwa hivyo sasa tufunge ndoa
So let's get married now
Tuishi pamoja milele
Let's live together forever
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Celebrate, rejoice, our love, baby
Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu
Dance, sing, my beloved, my Kichuna
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Celebrate, rejoice, our love, baby
Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu
Dance, sing, my beloved, my Kichuna
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Celebrate, rejoice, our love, baby
Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu
Dance, sing, my beloved, my Kichuna
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Celebrate, rejoice, our love, baby
Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu
Dance, sing, my beloved, my Kichuna
Oh mpenzi wangu
Oh, my beloved
Skiza wito wangu siwezi
Hear my plea, I cannot
Kuishi bila wewe
Live without you
Oh kichuna changu
Oh, my Kichuna
Songa karibu nami
Come close to me
Nikushike, nikubusu
Let me hold you, let me kiss you
Nikushike shike shike shike
Let me hold you, hold you, hold you, hold you
Penzi letu halina kasoro
Our love is flawless
Kwa hivyo sasa tufunge ndoa
So let's get married now
Tuishi pamoja milele baby
Let's live together forever, baby
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Celebrate, rejoice, our love, baby
Cheza, imba mpenzi wangu, kichuna changu
Dance, sing, my beloved, my Kichuna
Sherekea, furahia penzi letu, baby
Celebrate, rejoice our love, baby
Cheza, imba,
Dance, sing,
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Celebrate, rejoice, our love, baby
Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu
Dance, sing, my beloved, my Kichuna
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Celebrate, rejoice, our love, baby
Cheza, imba,
Dance, sing,
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Celebrate, rejoice, our love, baby
Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu
Dance, sing, my beloved, my Kichuna
Sherekea, furahia, penzi letu, baby
Celebrate, rejoice, our love, baby
Cheza, imba
Dance, sing






Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.