Kidum Kibido - Number Moja - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction Kidum Kibido - Number Moja




Number Moja
Number One
Nafasi yote moyoni
All the space in my heart
Nimeshaipa kwa Yesu
I have given to Jesus
Ni namba moja, moja
He is number one, one
Moja, moja
One, one
Nafasi yote moyoni
All the space in my heart
Nimeshaipa kwa Yesu
I have given to Jesus
Ni namba moja, moja
He is number one, one
Moja, moja
One, one
Nimeshatembea
I have walked
Nimeshazunguka
I have roamed
Kila pahali
Everywhere
Nikifika kila korna
When I reach every corner
Nimejaribu
I have tried
Kutafuta
To find
Kinachoweza
That which can
Kuridhisha moyo wangu
Satisfy my heart
Nikatanga tanga
I have wandered
Mashariki
East
Na kusini
And south
Ili muundaji nitafute
To seek the creator
Nikamanga manga
I have wandered
Magharibi
West
Kaskazini
North
Kupata kile ninachotaka
To get what I want
Wimbo
Song
(CHORUS)
(CHORUS)
Nafasi yote moyoni
All the space in my heart
Nimeshaipa kwa Yesu
I have given to Jesus
Ni namba moja, moja
He is number one, one
Moja, moja
One, one
Nafasi yote moyoni
All the space in my heart
Nimeshaipa kwa Yesu
I have given to Jesus
Ni namba moja, moja
He is number one, one
Moja, moja
One, one
Nafasi yote moyoni
All the space in my heart
Nimeshaipa kwa Yesu
I have given to Jesus
Ni namba moja, moja
He is number one, one
Moja, moja
One, one
Nafasi yote moyoni
All the space in my heart
Nimeshaipa kwa Yesu
I have given to Jesus
Ni namba moja, moja
He is number one, one
Moja, moja
One, one
Juhudi zangu zote
All my efforts
Zilipogonga mwamba
When they hit a rock
Nikafa moyo
I lost heart
Nikakata tamaa
I despaired
Ndio bwana
Yes Lord
Akaja kanigusa
He came to touch me
Nikasimama
I stood up
Nikaanza kutembea
I began to walk
Asante bwana
Thank you Lord
Mwokozi wangu
My savior
Nimetambua
I have realized
Kama nimekupata
As I have found you
Pewa wimbo
Give a song
Pewa sifa
Give praise
Asante Yesu
Thank you, Jesus
Nimeshatembea
I have walked
Nimeshazunguka
I have roamed
Kila pahali
Everywhere
Nikifika kila korna
When I reach every corner
Nimetambua
I realized
Nimekupata
I found you
Bwana Yesu
Lord Jesus
Mwokozi wangu
My savior
Nafasi
Space
(CHORUS)
(CHORUS)
Nafasi yote moyoni
All the space in my heart
Nimeshaipa kwa Yesu
I have given to Jesus
Ni namba moja, moja
He is number one, one
Moja, moja
One, one
Nafasi yote moyoni
All the space in my heart
Nimeshaipa kwa Yesu
I have given to Jesus
Ni namba moja, moja
He is number one, one
Moja, moja
One, one
Nafasi yote moyoni
All the space in my heart
Nimeshaipa kwa Yesu
I have given to Jesus
Ni namba moja, moja
He is number one, one
Moja, moja
One, one
Nafasi yote moyoni
All the space in my heart
Nimeshaipa kwa Yesu
I have given to Jesus
Ni namba moja, moja
He is number one, one
Moja, moja
One, one





Writer(s): Jean-pierre Nimbona, Philip Kioko


Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.