Kilimanjaro Band - Gere - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction Kilimanjaro Band - Gere




Gere
Gere
Gere mama, Gere mama
Gere mama, Gere mama
Gere mama, Gere mama
Gere mama, Gere mama
Wananionea ya Gere
They wronged me about Gere
Watausaga mtama waubwie wenyewe
They will grind millet and tell it themselves
Nguo ya kuazima haisitiri mwili
Borrowed clothes won't cover your body
Nguo ya kuazima haisitiri mwili
Borrowed clothes won't cover your body
Yale niliyokuambia sasa yameshakufika
What I told you has now reached you
Yale niliyokuambia sasa yameshakufika
What I told you has now reached you
Fahari ee ndie mama wa ujinga
Pride, ah, is the mother of ignorance
Fahari ee ndie mama wa ujinga
Pride, ah, is the mother of ignorance
Wewe mtu wa mia wataka elfu nne
You man of a hundred, you want four thousand
Dau lako la mia wataka elfu nne
Your stake of a hundred, you want four thousand
Kitenge umeunguza mwenyewe anakitaka
The kitenge you bought yourself, he wants it
Kitenge umeunguza mwenyewe ninakitaka
The kitenge you bought yourself, I want it
Umejisahau kapu la uyoga
You forgot the basket of mushrooms
Mjima hua halibebi nyama
A glutton doesn't carry meat
Umejisahau kapu la uyoga
You forgot the basket of mushrooms
Mjima hua halibebi nyama
A glutton doesn't carry meat
Wewe mtu wa mia wataka elfu nne
You man of a hundred, you want four thousand
Dau lako la mia wataka elfu nne
Your stake of a hundred, you want four thousand
Kitenge umeunguza mwenyewe anakitaka
The kitenge you bought yourself, he wants it
Kitenge umeunguza mwenyewe ninakitaka
The kitenge you bought yourself, I want it
Yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka
Yoo hoo hoo, my kitenge hurts, I want it
Wapita ukiringa na
They pass by, laughing at me with
Ukijitapa kwa kitenge changu mwenzio
If you boast about my kitenge to your friend
Yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka
Yoo hoo hoo, my kitenge hurts, I want it
Kitenge changu cha thamani
My precious kitenge
Nimekitoa mbali mwenzio
I brought it from far away, my friend
Yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka
Yoo hoo hoo, my kitenge hurts, I want it
Ninavyokithamini na kukihifadhi
How I cherish and preserve it
Wewe wakifuja mwenzio
You are spoiling it, my friend
Yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka
Yoo hoo hoo, my kitenge hurts, I want it
Kama unaweza tafuta cha kwako
If you can, find your own
Niache changu mwenzio
Leave mine, my friend
Gere mama, Gere mama
Gere mama, Gere mama
Gere mama, Gere mama
Gere mama, Gere mama
Wananionea ya Gere
They wronged me about Gere
Watausaga mtama waubwie wenyewe
They will grind millet and tell it themselves
Gere mama, Gere mama
Gere mama, Gere mama
Gere mama, Gere mama
Gere mama, Gere mama
Unanionea ya Gere
You wronged me about Gere
Utausaga mtama uubwie mwenyewe
You will grind millet and tell it yourself
Mama mkwe njoo nikuambie
Mother-in-law, come and I'll tell you
Yaliyonikunikuta kwa mwenzangu
What has befallen me with my friend
Kamwambia mume wangu
He told my husband
Anipe talaka badala yake ameachwa yeye
To divorce me, instead he has left her
Iko wapi kibiritingoma mwenzangu
Where is the kibiritingoma, my friend
Kwatwanga mpunga
To pound the rice
Amepeta pumba
She husked the chaff
Amepika wali kala mwenyewe
She cooked rice and ate it herself
Gere Mama Gere Mama
Gere Mama Gere Mama
Gere Mama Gere Mama
Gere Mama Gere Mama
Gere Mama Gere Mama
Gere Mama Gere Mama
Gere Mama yangu eee
Gere Mama, my mom
Gere Mama yangu eee
Gere Mama, my mom
Ya - ya - ya - ya - ya - ya
Ya - ya - ya - ya - ya - ya
Ya - ya - ya - ya - ya - yaaa
Ya - ya - ya - ya - ya - yaaa
Sheba Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba
Iko wapi kibiritingoma mwenzangu
Where is the kibiritingoma, my friend
Kwatwanga mpunga
To pound the rice
Amepeta pumba
She husked the chaff
Warumba Chee (Chee)
Warumba Chee (Chee)
Warumba Henyaa (Henyaa)
Warumba Henyaa (Henyaa)
Lete Vitu
Bring things
Gere mama, Gere mama
Gere mama, Gere mama
Gere mama, Gere mama
Gere mama, Gere mama
Wananionea ya Gere
They wronged me about Gere
Watausaga mtama waubwie wenyewe
They will grind millet and tell it themselves
Gere mama, Gere mama
Gere mama, Gere mama
Gere mama, Gere mama
Gere mama, Gere mama
Unanionea ya Gere
You wronged me about Gere
Utausaga mtama uubwie mwenyewe
You will grind millet and tell it yourself
Gere Mama Gere Mama
Gere Mama Gere Mama
Gere Mama Gere Mama
Gere Mama Gere Mama
Gere Mama Gere Mama
Gere Mama Gere Mama
Gere Mama yangu eee
Gere Mama, my mom
Gere Mama yangu eee
Gere Mama, my mom
Ya - ya - ya - ya - ya - ya
Ya - ya - ya - ya - ya - ya
Ya - ya - ya - ya - ya - yaaa
Ya - ya - ya - ya - ya - yaaa
Sheba Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba
Warumba Mpoo! (Tupo!)
Warumba Mpoo! (We're here!)
Sheba Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba
Iko wapi kibiritingoma mwenzangu
Where is the kibiritingoma, my friend
Kwatwanga mpunga
To pound the rice
Amepeta pumba
She husked the chaff
Warumba Chee (Chee)
Warumba Chee (Chee)
Warumba Henyaa (Henyaa)
Warumba Henyaa (Henyaa)





Writer(s): Kilimanjaro Band

Kilimanjaro Band - Gere
Album
Gere
date de sortie
10-12-2007


Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.