Legendury Beatz feat. Vanessa Mdee - Duasi paroles de chanson

paroles de chanson Duasi - Vanessa Mdee , Legendury Beatz



vee money
figisu ndo kitu mi sinaga
nje mpka ndani namconquer na swaga
wananiuliza kitu gani nampaga
real love, ndo nampaga mie
figisu ndo kitu mi sinaga
nje mpka ndani namkonga na swagga
wananiuliza money kipi unampaga
real love, ndo nampaga
mh mie simwachi
mwachi mwachi
wanga hawana nafasi
fasi, fasi
wameanza kukachi kachi kachi
hakuna nafasi ya duasi duasi duasi
oh lord simuachi muachi muachi
wanga hawana nafasi fasi fasi
wameanza kukachi kachi kachi
hakuna nafasi ya dausi duasi duasi
maisha zawadi furaha
maisha zawadi kwaja
kikubwa kumudu karaha
visa visa si balaa
maisha zawadi furaha
maisha zawadi kwaja
kikubwa kumudu karaha
visa visa si balaa
ah ah
together we the champion() champ
together we the champion()champ
together we the
(baby u n me)
na kama kama nisinge kuwa macho
nisingeweza linda kile nlicho nacho
drama drama nishatemana nazo
baby hatuna tena mawazo
kama kama nisinge kua macho
nisingeweza linda kile nlicho nacho
drama drama tushatemana nazo
baby hatuna tena mawazo
oh lord simuachi muachi muachi
wanga hawana nafasi fasi fasi
wameanza kukachi kachi kachi
hakuna nafasi ya duasi duasi duasi
oh lord simuachi muachi muachi
wanga hawana nafasi fasi fasi
wameanza kukachi kachi kachi
hakuna nafasi ya duasi duasi duasi
maisha zawadi furaha
maisha zawadi kwaja
kikubwa kumudu karaha
visa visa si balaa
maisha zawadi furaha
maisha zawadi kwaja
kikubwa kumudu karaha
visa visa si balaa
together we the champion() champ
together we the champion()champ
(mwisho)




Legendury Beatz feat. Vanessa Mdee - Afropop 101
Album Afropop 101
date de sortie
17-02-2017




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.