Otile Brown feat. Sanaipei - Chaguo La Moyo paroles de chanson

paroles de chanson Chaguo La Moyo - Otile Brown feat. Sanaipei



Hey hey
Oh, baby
Teddy B
No-ooh
Tam-tarara, tam-tam, yay
Oh, baby
Tam-tarara, tam-tam
Mi′ nakuchagua wewe, wewe uwe wangu (Aah)
Mume wangu, baba ya watoto wangu (Aah)
Kupendwa nawe majaliwa, kukuoa ni baraka, eeh (Aah)
Mshikaji wangu wa maisha
Oh, baby, I love you (Aah)
And for you
Ninabadili mienendo yangu, baba
Baby, for you
Ninaukimbia ujana mama, eeh (Yay, yay)
Nijenge boma nawe (Nawe)
Nizae watoto nawe (Nawe)
Niwalee pamoja nawe (Nawe)
Nizeeke pamoja nawe (Nawe)
Nataka nijenge boma nawe (Nawe)
Nizae watoto nawe (Nawe)
Niwalee pamoja nawe (Nawe)
Nizeeke pamoja nawe (Nawe)
Chaguo la moyo tam-tarara, tam-tam
Chaguo la moyo tam-tarara, tam-tam (Yeah)
Na kwenye madhabahu unavong'aa
Unavopendeza kwenye ′lo rinda
Oh, baby, I knew you're the one for me
Oh, baby, you're the one for me
I can tell the way you smile, the way you laugh
The way you talk, the way you walk
Baby, you′re the one for me
I swear you′re the one for me
And for you
Ninabadili mienendo yangu, mama
Baby, for you
Ninaukimbia ujana wangu (Yeah, yeah)
Nijenge boma nawe (Nawe)
Nizae watoto nawe (Nawe)
Niwalee pamoja nawe (Nawe)
Nizeeke pamoja nawe (Nawe)
Nataka nijenge boma nawe (Nawe)
Nizae watoto nawe (Nawe)
Niwalee pamoja nawe (Nawe)
Nizeeke pamoja nawe (Nawe)
Chaguo la moyo tam-tarara, tam-tam (Yeah)
Chaguo la moyo tam-tarara, tam-tam (Yeah)
Otile Brown
Na Sanaipei




Otile Brown feat. Sanaipei - Chaguo La Moyo
Album Chaguo La Moyo
date de sortie
11-04-2018



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.