Otile Brown - Samantha paroles de chanson

paroles de chanson Samantha - Otile Brown



Teddy B...
Mmmmh...
Mhhh...
Rangi ya mtome ndo bei Rangi ya mtome ndo bei Ngozi yake laini (
Hmmmmhhh) Kiuno chake cha kipekee Kiuno
Chake cha kipekee Yaani figa nane kamili (
Hmmmmhhh) Tena magari yanabishana kwao Usiku na mchana Washika dau na
Wasanifu oooho Mimi namlaumu mama (yako) Ulo
Ridhi matatizo Uzuri wako swaserii (ooooh hmmmmhh)
Samantha (hey),
Samantha Samantha oooh baby Baby you are my Samantha
Samantha, Samantha Uzuri wako timilifu Samantha oooh beiby
Hey nilipokuona Nilijua wewe ndo wangu Wala macho yangu
Hayakunidanganya (hmmmh) Sasa nisipokuona kama ninakosa kanisa
Naogopa utanipora Samahani kama Nakuhukumu vibaya My beiby,
Ni kwa sababu nakupenda Na najua unanipenda Tatizo wivu ninao Mmmh
Beiby, basi tusonge lala Hakika ulivyojaza hilo tattoo Mimi macho
Kondo Utuapo madem hawakai Basi nipige game
Hadi ufurahi Wewe kiboko Mwalimu wako fundi hatari
Samantha (hey),
Samantha Samantha oooh baby Baby you are my Samantha Samantha,
Samantha Uzuri wako timilifu Samantha oooh beiby Samantha (hey),
Samantha Samantha oooh baby Baby you are my Samantha
Samantha, Samantha Uzuri wako timilifu Samantha oooh beiby
Badman girl show me badman thing Badman girl show me badman thing
Badman girl do the badman thing Badman girl do
The badman thing Badman girl show me badman thing



Writer(s): Otile Brown


Otile Brown - Samantha
Album Samantha
date de sortie
19-12-2018




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.