Rayvanny feat. Diamond Platnumz - Vumbi - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction Rayvanny feat. Diamond Platnumz - Vumbi




Vumbi
Dust
Kimbunga hicho
That whirlwind
Kimbunga hicho
That whirlwind
Kimbunga hicho
That whirlwind
Yani tunazoa ZOA
That's how we scatter ZOA
Mwaga jasho miguu iwake moto
Sweat drips, his feet are hot
(Timua Vumbi timua)
(Blow Dust, Blow)
Kisigino kimegwe na ugoko
His ankles are swollen
(Timua Vumbi timua)
(Blow Dust, Blow)
Luka luka Tuziamshe popo
Heal him, let's nurse him
(Timua Vumbi timua)
(Blow Dust, Blow)
Vua shati ukisikia joto
Take off your shirt if you feel hot
(Timua Vumbi timua)
(Blow Dust, Blow)
Sa tunakisanua (Vumbi)
Now we dance (Dust)
Tunawachafua (Vumbi)
We soil them (Dust)
Tunawapa mafua
We give them colds
(Vumbi vumbi timua vumbi)
(Dust, Dust, Blow Dust)
Tunakata funua (vumbi) wakizingua (vumbi)
We stomp revealing (dust) they scatter (dust)
Tunawapa mafua (vumbi vumbi timua vumbi)
We give them colds (dust, dust, blow dust)
Wanatukimbiza wasafi eeh wapo makundi makundi
They're chasing us, they're clean, oh they're in groups
Lakini hawatupati eeh tunawaachia vumbi
But they can't catch us, oh, we leave them in the dust
Timua Vumbi timua
Blow Dust, Blow
Timua vumbi timua
Blow Dust, Blow
Timua Vumbi timua
Blow Dust, Blow
Timua vumbi timua
Blow Dust, Blow
Timua Vumbi timua
Blow Dust, Blow
Timua vumbi timua
Blow Dust, Blow
Timua Vumbi timua
Blow Dust, Blow
Timua vumbi timua
Blow Dust, Blow
Ooooh
Ooooh
Ka mashine yakoboa mupunga
Like a rice winnowing machine
(Timua Vumbi timua)
(Blow Dust, Blow)
Sunami changanya na kimbunga
A tsunami mixed with a whirlwind
(Timua Vumbi timua)
(Blow Dust, Blow)
Gwaride la jeshi (timua)
An army parade (blow)
Ka muchanga cement (timua)
Like dusty cement (blow)
Chana jamvi kapeti (timua timua Vumbi timua)
Sweep away the sea like a carpet (Blow, Blow, Blow Dust)
Leleeeelee
Leleeeelee
Timua muchanga
Blow the dust
Kama unalicheza vanga
As if you're using a hoe
Mzuka ukipanda
When the spirit moves you
Vua shati kama mwanga
Take off your shirt like a light
Leleeeelee
Leleeeelee
Timua muchanga
Blow the dust
Kama unalicheza vanga
As if you're using a hoe
Leleeeelee
Leleeeelee
Mzuka ukipanda
When the spirit moves you
Vua shati kama mwanga
Take off your shirt like a light
Asa kachili saga(saga saga)
Asa kachili grind(grind grind)
Kamatia zaga (zaga zaga)
Grab the round pot (turn turn)
Jichukulie dagaa (dagaa dagaa)
Get yourself some dagaa (dagaa dagaa)
Kinaga ubaga
Kinaga ubaga
Twende timua
Let's dance
Timua vumbi timua
Blow Dust, Blow
Timua vumbi timua
Blow Dust, Blow
Timua vumbi timua
Blow Dust, Blow
Timua Vumbi timua
Blow Dust, Blow
Timua vumbi timua
Blow Dust, Blow
Timua vumbi timua
Blow Dust, Blow
Timua vumbi timua
Blow Dust, Blow
Timua Vumbi timua
Blow Dust, Blow
Mwendo kama farasi
Move like a horse
(Ohohooo tunawatimua timua)
(Ohoho we blow away)
Kasi kama risasi
Speed like a bullet
(Ohohoo tunawatimua timua)
(Ohohoo we blow away)
Tuko nduki kibati
We're armed and ready
(Ohohoo tunawatimua timua)
(Ohohoo we blow away)
Hawatukamati
They can't catch us
(Ohohoo tunawatimua timua)
(Ohohoo we blow away)
Asa kitimue (timu timu)
Asa kitimue (blow blow)
Yani chimba (timu timu)
It means dance (blow blow)
Fukua fukua (timu timu)
Hit the ground (blow blow)
Chimba chimba(timu timu)
Dance dance(blow blow)
Eeeh vidole chepeo (timu timu)
Eeeh finger hat (blow blow)
Kiuno mpini(timu timu)
Waistline handle(blow blow)
Fanya kama koleo (timu timu)
Do it like a hoe (blow blow)
Ifukue kwa chini(timu timu)
Dig it from the ground(blow blow)





Writer(s): Nasibu Abdul, Raymond Mwakyusa

Rayvanny feat. Diamond Platnumz - Vumbi
Album
Vumbi
date de sortie
01-07-2019

1 Vumbi


Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.