paroles de chanson Pochi Nene Remix (feat. Wakorinto, Young Dee, Country Boy, Izzo Bizness, S2kizzy, Khaligraph Jones, Godzilla & Rosa Ree) - Young Dee , Godzilla , Country Boy , Khaligraph Jones , Izzo Bizness , Rosa Ree , Rayvanny
Pochi pochi pochi pochi
Zinateka kina sofi sofi sofi sofi
Hata uwe sura mbaya hazing'oking'oki
Pesa kitu noti noti noti noti
Yeah
Nguo zao za mitoko mi nashindia
Wakiomba photo nawavimbia
Pesa nyingi nahesabu hadi nasinzia
Nabadili floor mpaka India
Hindi... hindi...
Hindi... hindi
Pochi nene pochine nenee
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.