Skales feat. Teni & Vanessa Mdee - More paroles de chanson

paroles de chanson More - Skales , Teni , Vanessa Mdee



V Money
On the track
S2kizzy babyy
Mmmh
Moyo unanikosea moyo unanikosea na kaa na ww
Na tembea na wewe na lala na ww baado unanikosea
Zungumza na mimi mchana lalaah Zungumza na
Mimi usiku laalaah kama haifya weka ndotoni tu mmh
Usishindane na kichwa aah tumalizane yakaisha aah
Moyo nirudishie maisha aah tuputupu nimekwishaa aah
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea
Moyoo
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea
(Wee moyo)
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea
(Wee moyo)
Moyo unanikosea
Umeni adhibu chozi tiba yangu(We haya)
Umezi haribu zote hisia zangu(basi sawa)
Moyo Mbona umenitoa chambo ooh moyo we hunaga chanjo
Ooh moyo umenifanya pango ooh moyo huishiwi mipango ooh
Waongo wote unawaleta kwangu
Wanaocheat nao ni wakwangu
Walevi wote nao ni wakwangu Mbona unajitesaa
Usishindane na kichwa aah tumalizane yakaisha aah
Moyo nirudishie maishaa aah tuputupu nmekwisha aah
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea
Moyoo
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea
(Wee moyo)
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea
(Wee moyo)
Moyo unanikosea
Moyooo
Weee moooyoo




Skales feat. Teni & Vanessa Mdee - Mr Love
Album Mr Love
date de sortie
19-07-2018



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.