Young Killer feat. Ben Pol & Dully Sykes - Hunijui paroles de chanson

paroles de chanson Hunijui - Dully Sykes , Young Killer , Ben Pol



Mwenye macho haambiwi tazama askari.
Wew kipusa nipitie Mbali
Ya mussa mpe mussa, hayamuhusu kaisari.
Kila mchezo kwangu fainali.
Magum huyapitiii pekee ako wee.
Hakuna ambaye hajaotka mbali.
So usiniletee pressure na kwele.
Mipango bila pesa ni kelele.
Mwanasesele ongeza kunitukana maan
Unamhukumu kifo mtu aliyetaka kujiua ikashindikana.
Alishasema mama binadamu wabaya
Asie anaweza zipa mdomo akajfany hasikiii
Dully skyes & Ben pol
Hook
Vizur havitaki pupa vinataka simpo
So leo kesho kuanguka me bado nipo
Napata nachotafuta nakosaje diko
Ni mwendo wa kuvunja fupa maan meno iko.
Msodokiiii
Wasiojua dunian njia, me nilikuja nakusep.
Ndo maan nikilia dakik mbili 2 nacheka.
Najizimia ndo maana namelemeta
Ila mungu ndo aliyeniweka na ataenitoa
Kwaio sitaki mapressure kunitia doa.
Nachotaka pesa tu nikae poa.
Nadhan nimesomeka and no more.
Najua nashida zangu na kila mtu anazake.
Kwaio simuelezi mtu mambo yang, mtu aliyeshindwa na yake.
Ni dua zangu zinafany nipate. So mambo yangu yote mwake.



Writer(s): Young Killer


Young Killer feat. Ben Pol & Dully Sykes - Hunijui
Album Hunijui
date de sortie
27-06-2018



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.