Текст песни и перевод на английский Gloria Muliro - Mapito
Добавлять перевод могут только зарегистрированные пользователи.
Mimi
nashangaa
kumbe
wakati
wa
mapito
I
have
come
to
realize
that
during
trials
Mambo
yote
hubadilika
Everything
changes
Mimi
nashangaa
kumbe
wakati
wa
mapito
hata
rafiki
anakutoroka
I
have
come
to
realize
that
during
trials
even
friends
desert
you
Mimi
nashangaa
kumbe
wakati
wa
mapito
hauna
wa
kukutia
moyo
I
have
come
to
realize
that
during
trials
you
have
no
one
to
encourage
you
Kweli
nashangaa
kumbe
wakati
wa
mapito
mambo
yote
hubadilika
Indeed,
I
have
come
to
realize
that
during
trials
everything
changes
Hizi
miaka
zote
mpenzi
tumekua
tu
vizuri
All
these
years,
honey,
we
have
been
just
fine
Lakini
kuanza
jana
unabadilika
But
since
yesterday,
you
have
changed
Hutaki
kuniona
kunikaribia
hutaki
mpenzi
You
do
not
want
to
see
me,
to
come
near
you,
my
love
Kosa
unasema
kwamba
sinanga
pesa
You
falsely
claim
that
I
do
not
have
money
Hizi
miaka
zote
mpenzi
leo
ndipo
All
these
years,
honey,
it
is
today
that
Umefungika
macho
umeona
kwamba
sinanga
pesa
You
have
opened
your
eyes
and
seen
that
I
do
not
have
money
Afadhali
niache
jinsi
ulivyo
nipata
It
is
better
that
I
leave
you
as
I
found
you
Najua
ni
mapito
tu
Bwana
ananishughulikia
I
know
that
it
is
just
trials,
and
the
Lord
is
working
on
me
Nasema
siezi.
Kumwacha
Mungu
wangu.
Ju
yako
penzi.
I
say
I
cannot
leave
my
God
because
of
you,
love
Mungu
wangu
ananishughulikia
tu
Eeh
ehh
My
God
is
working
on
me,
that
is
all,
oh,
yeah
Uchungu
wa
Mwana
ni
mzazi
aujuaye
The
pain
of
a
child
is
known
to
the
parent
Mapito
yangu
baba
mwenyewe
ndio
anaona
My
trials,
oh
Father,
are
being
witnessed
by
you
Jamani
wakati
wa
mapito
My
goodness,
during
trials
Mapito
ohh
oh
Trials,
oh,
oh
Usingojee
kupigiwa
makofi
bali
kupigwa
makofi
Do
not
expect
to
be
applauded,
but
to
be
rebuked
Jamani
wakati
wa
mapito
My
goodness,
trials
Usitarajie
kutiwa
moyo
bali
kuvunjwa
moyo
Do
not
expect
to
be
encouraged,
but
to
be
discouraged
Wakati
wa
mapito.
Mapito
oh
Trials,
trials,
oh
Usitarajie
marafiki
bali
manafiki
kibao
Do
not
expect
friends,
but
many
hypocrites
Utakapo
pata
wengine
wao
watakurudia
When
you
recover,
some
of
them
will
come
back
to
you
Watasema
wanakujua
watasema
walisimama
na
wewe
They
will
claim
to
know
you,
they
will
claim
to
have
stood
by
you
Aah
usiwakemee
Oh,
do
not
expose
them
Mungu
Mungu
ndiye
analipaye
God,
God
is
the
one
who
repays
Uchungu
wa
mwana
The
pain
of
a
child
Uchungu
wa
mwana
ni
mzazi(ni
mzazi
aujuaye)
aujuaye
The
pain
of
a
child
is
known
to
the
parent
Mapito
yangu(mapito
yangu.
Machozi
yangu)
baba
mwenyewe
anaona
My
trials,
my
tears,
Father,
are
being
witnessed
by
you
Atatenda
tu
tenda
tu
You
will
act,
you
will
act
Uchungu
wa
mwana
ni
mzazi
aujuaye
The
pain
of
a
child
is
known
to
the
parent
Mapito
yangu
baba
mwenyewe
ndio
anaona
My
trials,
oh
Father,
are
being
witnessed
by
you
Оцените перевод
Оценивать перевод могут только зарегистрированные пользователи.
Авторы: Gloria Muliro
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.