ALIKIBA - Zaidi Yangu - перевод текста песни на французский

Текст и перевод песни ALIKIBA - Zaidi Yangu

Zaidi Yangu
Zaidi Yangu
Instrunmental
Instrunmental
Mcheza bongo Mac Muga
Mcheza bongo Mac Muga
Yuko single sana Mac Muga
Yuko single sana Mac Muga
Ukimwona mtu akijinamia kwa sababu ya
Ukimwona mtu akijinamia kwa sababu ya
Maisha yamchanganya Chali wangu alizamia
Maisha yamchanganya Chali wangu alizamia
Kuenda kusini mwa Africa Huku pia akimchanua kwa sababu ya maisha
Kuenda kusini mwa Africa Huku pia akimchanua kwa sababu ya maisha
Aliyofuma Alikuwa maarufu sana,
Aliyofuma Alikuwa maarufu sana,
Akajiona yeye ndo winner Kwa
Akajiona yeye ndo winner Kwa
Kujichanganya na wasichana Club zote za huko kujulikana
Kujichanganya na wasichana Club zote za huko kujulikana
Yeye Mac Muga Wewe Mac Muga Ah,
Yeye Mac Muga Wewe Mac Muga Ah,
Hii dunia, Mac Muga huruma!
Hii dunia, Mac Muga huruma!
Mungusha asumani alipofika South Africa
Mungusha asumani alipofika South Africa
Alikuwa na maisha bora Ya juu,
Alikuwa na maisha bora Ya juu,
Ya thamani tena yanayohitajika magari yote
Ya thamani tena yanayohitajika magari yote
Kwa nyumba Mbona sasa amesharejea,
Kwa nyumba Mbona sasa amesharejea,
Hajui wapi ataanzia!
Hajui wapi ataanzia!
Hakuna kazi mtu akajinamia
Hakuna kazi mtu akajinamia
Mac Muga hii ni dunia
Mac Muga hii ni dunia
Akajichezea,
Akajichezea,
Gari ya kutembelea Shida walimwelezea wasichana
Gari ya kutembelea Shida walimwelezea wasichana
Na shida zao akawatatulia
Na shida zao akawatatulia
Wewe upewe nini Mac Muga
Wewe upewe nini Mac Muga
Mungu akupe nini Mac Muga?
Mungu akupe nini Mac Muga?
Nyumba ulijijengea,
Nyumba ulijijengea,
Foro kuta nyumba Wewe ndio wewe,
Foro kuta nyumba Wewe ndio wewe,
Wengine fala! Wewe,
Wengine fala! Wewe,
Mac Muga Mbona sasa umeshatimua!
Mac Muga Mbona sasa umeshatimua!
South Africa wamekutimua
South Africa wamekutimua
Na sasa home usharejea
Na sasa home usharejea
Wewe Mac Muga Mungu akupe nini Mac Muga?
Wewe Mac Muga Mungu akupe nini Mac Muga?
Mungusha asumani alipofika South Africa
Mungusha asumani alipofika South Africa
Alikuwa na maisha bora Ya juu,
Alikuwa na maisha bora Ya juu,
Ya thamani tena yanayohitajika magari makubwa,
Ya thamani tena yanayohitajika magari makubwa,
Nyumba Mbona sasa amesharejea,
Nyumba Mbona sasa amesharejea,
Hajui wapi ataanzia Hakuna kazi mtu akajinamia
Hajui wapi ataanzia Hakuna kazi mtu akajinamia
Mac Muga hii ni dunia!
Mac Muga hii ni dunia!
Yipes kana huoni kwa Mac Muga
Yipes kana huoni kwa Mac Muga
Woi noma huruma kanyongo'nyea
Woi noma huruma kanyongo'nyea
Afanye nini sasa,
Afanye nini sasa,
Cha kufanya Kila anachachofanya anaona anakosea
Cha kufanya Kila anachachofanya anaona anakosea
Yikes,
Yikes,
Kama huoni kwa Mac Muga Woi noma
Kama huoni kwa Mac Muga Woi noma
Huruma kanyongo'nyea Afanye nini sasa,
Huruma kanyongo'nyea Afanye nini sasa,
Cha kufanya Kila anachachofanya anaona anakosea
Cha kufanya Kila anachachofanya anaona anakosea
Akiwa jambazi akili zake zitaishia
Akiwa jambazi akili zake zitaishia
Akiwa mwizi anaona atauliwa
Akiwa mwizi anaona atauliwa
Akifikiria kujiua Nafsi yamzusha basi analia
Akifikiria kujiua Nafsi yamzusha basi analia
Wewe Mac Muga! Mungu akupe nini Mac Muga?
Wewe Mac Muga! Mungu akupe nini Mac Muga?
Wewe Mac Muga! Basi upewe nini Mac Muga?
Wewe Mac Muga! Basi upewe nini Mac Muga?
Mungu alikuzawadia Sasa ushachezea!
Mungu alikuzawadia Sasa ushachezea!
Wewe Mac Muga! Basi upewe nini Mac Muga?
Wewe Mac Muga! Basi upewe nini Mac Muga?
Mungu alikuzawadia maisha Sasa ushachezea!
Mungu alikuzawadia maisha Sasa ushachezea!
Haya, haya, Wangu Mac Muga
Haya, haya, Wangu Mac Muga
Msela hao Wa mpani huna Wasee wa
Msela hao Wa mpani huna Wasee wa
Maskani wanakukimbia! Mac Muga noma Hee!
Maskani wanakukimbia! Mac Muga noma Hee!
Mac Muga Skonde, upige moyo konde,
Mac Muga Skonde, upige moyo konde,
Mac Muga!
Mac Muga!

Авторы: Unknown

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.