Aslay feat. Khadija Kopa - Usinitie Doa Feat Khadija Kopa - перевод текста песни на английский

Текст и перевод песни Aslay feat. Khadija Kopa - Usinitie Doa Feat Khadija Kopa




Usinitie Doa Feat Khadija Kopa
Bride and Groom's Prayer
Eeh mama tarumbeta
Oh mother, sound the trumpet
Mwari anamelemeta yeoo ooh ooh
God has blessed me so much, yeoo ooh ooh
Sifa ninazopata eeeh
The glory I receive, eeeh
Aslay naozesha leo ooh
Aslay, make me a blessing today, ooh
(Baba harusi hongeraaa)
(Congratulations to the groom!)
Ndoa ni jambo kubwa mwanangu
Marriage is a great thing, my daughter
Kaitunze heshima yangu
Guard my respect
Chozi linanitoka mwanangu
A tear escapes me, my daughter
(Pole we eeh)
(I'm sorry, eh)
Siamini macho yangu
I can't believe my eyes
(Ndo hivyo)
(That's it)
Eeeh babu harusi mshike taratibu
Oh groom, hold her gently
Usije ukafuta piko
Don't wipe away the smile
Haraka ya nini wakati huyo ni mali yako
What's the rush when she's your property
Mwanangu uchechemee
My daughter, flourish
Ulofundwa usisemeee kwa watu
Don't gossip with people
(Usungo huo)
(That bond)
Maneno umungunye
Keep your words to yourself
Ya chumbani usiwape faida watuu mwanangu
Don't give outsiders the benefit of your bedroom secrets, my daughter
Ndoaa usitie doa(mwanangu mwanangu)
Don't stain your marriage
Ukitia doa ndoa utanitia haya
If you stain your marriage, you will shame me
Ndoaa usitie doa
Don't stain your marriage
Ukitia doa ndoa utanitia haya mwanangu
If you stain your marriage, you will shame me, my daughter
Wanawake wa kisasa
Modern women
Mnajifanya mna whatsapp
You pretend to be on WhatsApp
Hamna muda wa kushughurikia
You don't have time to be busy
Waume zenu mtashaha
You will embarrass your husbands
Mkifanya mchezo wenzio watawasapombe
If you play games, your friends will steal them
Ooooh oooh
Ooooh oooh
Usipende kugombana na mume wakoo
Don't like to argue with your husband
Hata kama kuna vitu vimekukwaza
Even if there are things that upset you
Mwanamke busara
A wise woman
Rudi vikizidi vituko
Come back when the tricks get too much
(Hakukutoa juu ya mti babu eh)
(He didn't take you out of a tree, baba eh)
Hapa ni nyumbani kwako hujafukuzwa
This is your home, you haven't been evicted
Eh Mashoga wataharibu ndoa yako
Eh Mashoga will ruin your marriage
Watakupindua watamteka mume wako
They will turn you against your husband
Jitahidi kuwaheshimu wakwe zako
Make an effort to respect your in-laws
Hizo ndizo nguzo
They are the pillars
Za kuitunza ndoa yako
Of keeping your marriage
Wivu usiuendekeze utakutoa roho
Don't let jealousy go, it will kill you
Lakini usiwe kama zeze
But don't be like a sparrow
Kwenye ndoa yako
In your marriage
We jitahidi upendeze uwarushe sana roho
Try to be nice and throw him a lot of soul
Ila mbali usicheze na mume wako
But don't play with your husband
Ndoaa usitie doa
Don't stain your marriage
Ukitia doa ndoa utanitia haya
If you stain your marriage, you will shame me
Ndoaa usitie doa
Don't stain your marriage
Ukitia doa ndoa utanitia haya mwanangu
If you stain your marriage, you will shame me my daughter
Mwanangu seketua seketua seketu
My daughter the chairman the chairman
Baba seketua seketua seketu
Father the chairman the chairman
Majirani seketua seketua seketu
Neighbors the chairman the chairman
Wahuni seketua seketua seketu
Thieves the chairman the chairman
Nasema babu harusi mmemuona
I say groom, have you seen
Babu harusi eeh mmemuona
Groom, eh, have you seen
Babu harusi eeh mmemuona
Groom, eh, have you seen
Aah Bibi harusi eeeh mmemuona
Aah Bride, eeeh, have you seen
Oho Bibi harusi wohoo wowooh mmemuona
Oho Bride wohoo wowooh have you seen
Eeh baba ya mwari eeh mmeniona
Eh father of the bride, eh have you seen
Mhh mama ya mwari eeh mmemuona
Mhh mother of the bride, eh have you seen
(Mwanaume harogwi eeeh)
(The man is a witch eeeh)
(Anarogwa kwa mambo mambo mambo)
(He is bewitched for things things things)
Aslay na hangaika eei eei nisaidie wanangu
Aslay and the hustle eei eei help me, my children
Ooh na hangaika eieeh eihh nisaidie wanangu
Ooh and the hustle eieeh eihh help me my children
Babu harusi kahangaike eeieh usaidie wanao
Groom hustle eeieh help your children
Kaangaike eeieh usaidie wanao
Hustle eeieh help your children
Bibi harusi kahangaike eiee eeh usaidie wanao
Bride hustle eiee eeh help your children
Kahangaike eeieh eieeh usaidie wanao
Hustle eeieh eieeh help your children





Aslay feat. Khadija Kopa - Usinitie Doa Feat Khadija Kopa
Альбом
Usinitie Doa Feat Khadija Kopa
дата релиза
15-10-2017



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.