Bahati - Itakuwa Sawa текст песни

Текст песни Itakuwa Sawa - Bahati




Nilipotenganishwa tu na mama
Niliingia kwa mtaa kutafuta butter
Masela walinata
Huku na kule tumaini la kupata
Nisije na uchungu
Mito mikubwa milima nilivuka
Natumaini tu kwa Mungu
Awape nguvu nyumbani niliowacha
Nikaamua niende mbali
Ii mbali na nyumbani
Nikamua niende mbali
Ili kusaka ugali
Nikaamua niende mbali
Mbali na nyumba
Nikaamua niende mbali
Mbali na
Itakuwa sawa
Kwa hivi waeleze nyanya na babu
Itakuwa sawa
Shangazi mwambie hasife moyo
Itakuwa sawa
Kwa hivi waeleze nyanya na babu
Itakuwa sawa
Mwambie roho
Itakuwa sawa
Na hivi msichoke
Kukopa dukani paendapo pangumu
Hivi mniombee
Maisha mjini bado ni sugu
Na hivi msichoke
Kukopa dukani paendapo pangumu
Hivi mniombee
Maisha mjini bado ni sugu
Naelewa na uchungu uliowabana
Naelewa si rahisi kupambana
Naelewa na majozi yamewakumba
Mama baba
Naelewa na uchungu uliowabana
Si rahisi kupambana
Naamini tukimwamini Rabana
Yote itakuwa sawa
Kwa hivi waeleze nyanya na babu
Itakuwa sawa
Shangazi mwambie hasife moyo
Itakuwa sawa
Kwa hivi waeleze nyanya na babu
Itakuwa sawa
Mwambie moyo
Napita mengi na si utani
Wambie eh
Sijadanganywa na burundani
Wambie eh
Napita mengi na si utani
Wambie eh
Sijadanganywa na burundani
Wambie eh
Itakuwa sawa
Kwa hivi waeleze nyanya na babu
Itakuwa sawa
Shangazi mwambie hasife moyo
Itakuwa sawa
Kwa hivi waeleze nyanya na babu
Itakuwa sawa
Mwambie moyo
Itakuwa sawa
Mweleze nyanya
Mweleze mjomba,,(itakuwa sawa)
Mweleze masela
Musyoki wa benga
(itakuwa sawa)
Mweleze susana
(itakuwa sawa)
Na hivi msichoke



Авторы: bahati bahati


Bahati - Itakuwa Sawa
Альбом Itakuwa Sawa
дата релиза
25-02-2016




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.
//}