Текст песни Tenda (Live) - Deborah Lukalu
Hakuna
hakuna,
Hakuna
Mungu
kama
wewe
Baba
Hakuna
hakuna,
Hakuna
Mungu
kama
wewe
Baba
Hakuna
mwingine
kimbilio
langu
Hakuna
hakuna,
Hakuna
Mungu
kama
wewe
Baba
Hakuna
mwingine
Baba
wa
wajane
Hakuna
hakuna,
Hakuna
Mungu
kama
wewe
Baba
Mungu
ni
shefu
(shefu)×14
Shefu
(wa
mataifa
yote)
×14
Alitenda
mambo
makubwa
Wanadamu
hawakuelewa
(tenda
tenda
tenda)
Tenda
eh
Baba
tenda
Tenda
eh
Baba
tenda
(Mungu
wa
uzima)
Tenda
eh
Baba
tenda
(Baba
wa
wajane)
Tenda
eh
Baba
tenda
(Iyo
yo
yo
yo
oh)
Tenda
tendaa
.
Ni
wa
uwezo
ni
wa
ushindi
Ni
muweza
yote
kweli
ni
muumba
wetu
Watoto
tunasala
(tumepata
kwa
neema)
Masomo
tunaweza
(tumepata
kwa
neema)
Diploma
uko
nayo
(ulipata
kwa
neema)
Kuimba
unaimba
(ulipata
kwa
neema)
.
Huyu
Mungu
wetu
(anasema
anajibu)
Ni
muweza
yote
Hallelujah
ni
Muumba
wetu
.
Wa
milele
wa
milele
Mungu
wa
Baraka
ni
Yesu
Wa
milele
wa
milele
Mungu
wa
Baraka
ni
Yesu
×4
1 Daddy (Live)
2 I Am Yours (Live)
3 Zala Na Ngai (Live)
4 Tu Es Puissant (Live) [feat. Pastor Lord Lombo]
5 Jesus (Live)
6 Tenda (Live)
7 Grace (Live)
8 Glorious Life (Live)
9 He Is Able (Live)
10 J'ai Décidé (Live) [feat. Apostle Narcisse Majila]
11 Call Me Favour (Live)
12 Favour Celebration (Live)
13 We Testify (Live)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.