Текст песни Tajiri Yangu - Fid Q , Paul Clement
Ewe,
Ewe
tajiri
yangu
Wewe
ndiwe
kila
kitu
kwangu
Ewe,
Ewe
tajiri
yangu
Wewe
ndiwe
kila
kitu
kwangu
We
ni
tajiri,
wa
matajiri
We
ni
tajiri,
tajiri
yangu
Lord,
ni
ngumu
kujua
we
uko
wapi
ila
unajua
nilipo
Naiska
haki
kuipata
ni
bahati
na
kwa
waganga
siko
Vyuma
vikiza
najichangachanga
kuusaka
mshiko
Na
mbanga
zinakwaza
madada
wa
kudanga
wanabamba
vifo
Na
waliopinda
we
uwalinde
no
love
Ka
wale
wajinga
walionipinga
napowinda
wokovu
Haunipi
shida
bila
namna
kuisolve
We
ndio
mmiliki
wa
kila
tiba
na
hauna
roho
mbovu
Hauna
roho
mbovu
unanipa
incharge
na
power
ninyanyue
juu
Ni
zaidi
ya
dawa
sikuhitaji
ninapougua
tu
Unaniweka
sawa
devil
akitua
hamchukui
Q
Una
uwezo
wa
kunigawa
au
kuniumbua
sio
tu
kuniumba
mkuu
Ni
rhumba
tu
ndio
linaweka
vumba
juu
na
Kututesa
kama
mfungwa
anayechungwa
kudundwa
juu
We
ndio
BOSS
ninaekuamini
haututosi
tukichomewa
Sio
wale
wanaowahi
kazini
ili
wafoke
tukichelewa
Ewe,
Ewe
tajiri
yangu
Wewe
ndiwe
kila
kitu
kwangu
Ewe,
Ewe
tajiri
yangu
Wewe
ndiwe
kila
kitu
kwangu
We
ni
tajiri,
wa
matajiri
We
ni
tajiri,
tajiri
yangu
Mwanadamu
amemtawala
mwanadamu
kwa
kumuumiza
Anakwapua
mpaka
asivyovihitaji
bila
kubakiza
Hii
inafanya
nafsi
yangu
ikose
subira
Ikose
usingizi,
uoga
huzuni
niwe
na
hasira
Kwangu
furaha
nikiwa
na
MUNGU
sio
mlungula
Na
pia
siku
zote
mla
raha
na
chungu
hula
Najua
nilipotoka,
Najua
wapi
nilipo
isipokuwa
ni
we
pekee
unajua
lini
nitafika
mwisho
Cheo
chako
ni
kirefu
zaidi
ya
dunia
Kipana
zaidi
ya
bahari,
ulinzi
mkali
hakuna
askari
anaefikia
Namlaani
shetani
kiundani
nipate
kujua
mkuu
Ili
nijihami
na
mtihani
nisiache
tusua
Q
Najua
una
huruma
naomba
nikibuma
usinitose
Mwanadamu
atazingua
heshima
sio
utumwa
kwa
Boss
Hauwezi
nunua
uhai
sasa
najidai
kwa
lipi?
Na
kwako
sote
...
hata
Malaya
humpa
ridhiki
Ewe,
Ewe
tajiri
yangu
Wewe
ndiwe
kila
kitu
kwangu
Ewe,
Ewe
tajiri
yangu
Wewe
ndiwe
kila
kitu
kwangu
We
ni
tajiri,
wa
matajiri
We
ni
tajiri,
tajiri
yangu
Siwezi
kuwa
masikini
sababu
Anaenitunza
ni
tajiri
ni
MUNGU
Asieacha
nigange
njaa,
nikose
furaha,
nikate
tama
Ewe
Ewe
tajiri,
yangu
We
ni
kila
kitu
kwangu
Umebeba
uhai
wangu
Umebeba
maisha
yangu
Tajiri
wa
uhai
wangu
Tajiri
wa
maisha
yangu
Tajiri
wa
kila
kitu
kwangu
1 Mafanikio
2 Masta ( Intro)
3 Mzee Mbuzi
4 Fresh
5 Ole Chizza
6 Hustle
7 Maselabration
8 Big
9 Boss
10 Bongo Hip Hop
11 Fame
12 Kiberiti
13 Kemosabe
14 Kitaaolojia ( Interlude)
15 Familia
16 Tajiri Yangu
17 Hello Darling
18 Ulimi Mbili
19 Love
20 Mama Cheusi
21 Sky High
22 Hauniambii Kitu
23 Sumu
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.