Git - Yesu Nakupenda - перевод текста песни на английский

Yesu Nakupenda - Gitперевод на английский




Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Yesu eeee nakupenda
Jesus, I love you
Bwana yesu eeee na kupenda
Lord Jesus, I love you so
Yesu eeee nakupenda
Jesus, I love you
Bwana yesu eeee na kupenda
Lord Jesus, I love you so
Kama vile ww ulivyo nipenda kwanza
As you first loved me
Nakupenda
I love you
Kisha tehna ukatoa uhai wako
Then you gave up your life
Nakupenda
I love you
Kama vile ww ulivyo nipenda kwanza
As you first loved me
Nakupenda
I love you
Kisha tehna ukatoa uhai wako
Then you gave up your life
Nakupenda
I love you
Yesuuuuuuu huuu yesu
Jesus, oh Jesus
Yesu eeeeeh nakupenda
Jesus, I love you
Bwana yesu eeeeh nakupenda
Lord Jesus, I love you so
Yesu eeeeeh nakuenda
Jesus, I love you
Bwana yesu eeeeh nakupena
Lord Jesus, I love you so
Kama vile ww ulivyo nipenda kwanza
As you first loved me
Nakupenda
I love you
Kisha tehna ukatoa uhai wako
Then you gave up your life
Nakupenda
I love you
Kama vile ww ulovyo nipenda kwanza
As you first loved me
Nakupenda
I love you
Kisha tehna ukatoa uhai wako
Then you gave up your life
Nakupenda
I love you
Yesuuuuu uuuh yesu
Jesus, oh Jesus
Msalabani dhambi zangu ulichukuaaaa
On the cross, you took my sins
Kufika kalvar bwana ukizituaaaa
At Calvary, Lord, you cast them away
Nami nimewekwa huru nina kwimbia
I am set free, and I sing to you
Msaraban dhambi zangu ulichukuaaaa
On the cross, you took my sins
Kufika kalvari bwana ulizituaaaaa
At Calvary, Lord, you cast them away
Nami nimewekwa huru ninakwimbiaaa
I am set free, and I sing to you
Nikufananishe na nani mwokozi wangu
Savior, who can I compare you to?
(Babaaaa) naona fahari mm ninapo kuimbia (babaa)
(Father) I'm so proud to sing to you (father)
Na ninani asimaaame badala yakooo
Who could stand in your place?
Hakuna mwingine ni ww peko2
There is no other but you
Yesu weee nakupenda
Jesus, I love you
Bwana yesu nakupenda
Lord Jesus, I love you
Yesu wee nakupenda
Jesus, I love you
Bwana yesu eeee nakupenda
Lord Jesus, I love you so
Kama vile ww ulivyo nipenda kwanza
As you first loved me
Nakupenda
I love you
Kisha tehna ukatoa uhai wako
Then you gave up your life
Nakupenda
I love you
Kama vile ww ulivyo nipenda kwanza
As you first loved me
Nakupenda
I love you
Kisha tehna ukatoa uhai wako
Then you gave up your life
Nakupenda
I love you
Yesuuuuuu uuuu yesu
Jesus, oh Jesus
Nilipo kuwa kwa shetani niliuguaaaa
When I was with the devil, I was sick
Ndugu na jamaaa zangu walinikimbiaaa
My brothers and family, they ran away from me
Laki yesu wa huruma ukanihurumia
But Jesus of mercy, you had mercy on me
Nilipo kuwa kwa shetani niliguaaaa
When I was with the devil, I was sick
Ndugu na jamaaa zangu wali nikimbiaaa
My brothers and family, they ran away from me
Lakini yesu wa huruma ukanihurumiaaa
But Jesus of mercy, you had mercy on me
Nikufananishe nanani mwokozi wangueee
Savior, who can I compare you to?
Naona fahari mm ninapo kwimbia
I'm so proud to sing to you
Nani asimame badala yako
Who could stand in your place?
(Babaa)hakuna mwingine ni ww peke yako (babaaa) ninajua yeeesu wanipenda mm
(Father) There is no other but you (father) I know Jesus loves me
Yesu wee nakupenda
Jesus, I love you
Bwana yesu eeee nakupenda
Lord Jesus, I love you so
Yesu eee nakupenda
Jesus, I love you
Bwana yesu eeee nakupenda
Lord Jesus, I love you so
(Mama weee mama weeeee aaaaaah.!)
(Mother, oh mother, oh! Oh! Ah!.)
Kama vile ww ulivyo nipenda kwanza
As you first loved me
Nakupenda
I love you
Kisha tehna ukautoa uhai wako
Then you gave up your life
Nakupenda 2
I love you
Yesu uuuh yesu uuuuuh!
Jesus, oh Jesus, oh!
Kwimageeeee... kwimagee heee
Glory... glory, oh
Kwimageeee... kwimagee hee
Glory... glory, oh
Kwimage mugewayesu (halelluya)
Glory to Jesus (hallelujah)
Oooooh kwimage wee (kwimage baba)
Oh, glory to you (glory, Father)
Kulihobage luhoba baba(halelluya)
There is no god but you, Father (hallelujah)
Uuuuh kwimahe eee (kwimage baba)
Oh, glory to you (glory, Father)
Kwimage baba . kwimage baba
Glory to you, Father. Glory to you, Father
Kwimage baaba kwimage baba
Glory to you, Father, glory to you, Father
Kwimage baaaaaa baba baba
Glory to you, Faaaaaather, Father, Father
Kaka kyala kaka kyala kaka kyala
Glory to you, dear Jesus, glory to you
Kaka kyala asante mwokozi wangu
Thank you, my Savior
Asante mwokozi wa uhuuu asante
Thank you, my Savior, oh, thank you





Авторы: aaron fanyana mayisa


Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.