Текст и перевод песни Harmonize - Mwaka Wangu
Добавлять перевод могут только зарегистрированные пользователи.
Ni
mwaka
mpya
mambo
mapya
sina
zhambi
nimetubu
It's
a
new
year,
new
things,
I
have
no
guilt,
I've
repented
Na
pesa
ntazichanga
changa
nizijaze
kwa
kibubuu
And
I'll
collect
money,
collect
it
and
fill
it
up
Japo
hata
kakibanda
nikajenge
huko
pugu
Even
if
it's
a
small
shack,
I'll
build
it
in
Pugu
Maana
nyumba
za
kupanga
nishazichoka
vurugu
Because
I'm
tired
of
the
hassle
of
renting
houses
Eti
kwani
wao
waweze
wana
nini
Why
should
they
have
it?
Mmmh!
na
mimi
nishindwe
nina
nini
Mmmh!
And
I
can't
have
it?
Nishachoka
siku
zote
kuwa
wa
chini
I'm
tired
of
always
being
below
them
Wengine
wanakula
kipupwe
ma
ofisini
Others
eat
in
peace
in
offices
Mliosema
haolewi,
olewi
mbona
kaolewa
You
said
she
wouldn't
get
married,
but
she's
married
Mliosema
hapewi,
hapewi
mbona
amepewa
You
said
she
wouldn't
be
given,
but
she
was
given
Mwaka
huu
ni
wangu
This
year
is
mine
Kutimiza
ndoto
zangu
To
fulfill
my
dreams
Nasema
mwaka
huu
ni
wangu
I
say
this
year
is
mine
Kwa
baraka
za
mungu
wangu,
Dear
lord
With
the
blessings
of
my
God,
Dear
lord
Hakuna
mungu
kama
wewe
baba
(eh
hakuna)
There
is
no
God
like
you,
father
(no)
Kama
wewe
yawe
(eh
hakuna)
Like
yours
(no)
Hakuna
mungu
kama
wewe
baba
(eh
hakuna)
There
is
no
God
like
you,
father
(no)
Kama
wewe
yawee
(eh
hakuna)
Like
yours
(no)
Huu
mwaka
nakusanya
mavumba
ninunue
gari
yangu
This
year
I'm
collecting
money
to
buy
my
car
Na
wale
waliosema
mimi
ni
mguma
waje
kumuone
mwanangu
And
those
who
said
I
was
a
loser,
come
and
see
my
child
Huu
mwaka,
marafiki
wasio
na
faida
nawaweka
pembeni
This
year,
I'm
putting
my
useless
friends
aside
Wanaokufata
wakati
wa
shida
ii
wapate
hafueni
Those
who
follow
you
only
in
times
of
trouble,
may
they
not
find
relief
Niwaonyeshe
walionidharau
kama
mungu
anaweza
To
show
those
who
scorned
me
how
God
can
Nami
nipande
dau
niwasalimu
kingereza
And
I'll
jump
in
and
greet
them
in
English
When
God
say
yes,
nobody
can
say
no
When
God
says
yes,
nobody
can
say
no
When
God
say
yes,
nobody
can
say
no
When
God
says
yes,
nobody
can
say
no
When
God
say
yes,
nobody
can
say
no
When
God
says
yes,
nobody
can
say
no
When
God
say
yes,
nobody
can
say
no
When
God
says
yes,
nobody
can
say
no
Miosema
haolewi,
olewi
mbona
kaolewa
You
said
she
wouldn't
get
married,
but
she's
married
Mliosema
hapewi,
hapewi
mbona
amepewa
You
said
she
wouldn't
be
given,
but
she
was
given
Mwaka
huu
ni
wangu
This
year
is
mine
Kutimiza
ndoto
zangu
To
fulfill
my
dreams
Nasema
mwaka
huu
ni
wangu
I
say
this
year
is
mine
Kwa
baraka
za
mungu
wangu,
Dear
lord
With
the
blessings
of
my
God,
Dear
lord
Hakuna
mungu
kama
wewe
baba
(eh
hakuna)
There
is
no
God
like
you,
father
(no)
Kama
wewe
yawe
(eh
hakuna)
Like
yours
(no)
Hakuna
mungu
kama
wewe
baba
(eh
hakuna)
There
is
no
God
like
you,
father
(no)
Kama
wewe
yawee
(eh
hakuna)
Like
yours
(no)
Оцените перевод
Оценивать перевод могут только зарегистрированные пользователи.
Авторы: Rajab Kahali
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.