Текст и перевод песни Isha Mashauzi - Mama Nipe Radhi
Добавлять перевод могут только зарегистрированные пользователи.
Mama Nipe Radhi
Mama Nipe Radhi
Oooh.
katika
hii
dunia
utapambana
na
mengi
Woah.
In
this
world
you
will
fight
a
lot
Muhimu
kuvumilia
ndio
jambo
la
msingi
It
is
important
to
endure,
that
is
the
essential
thing
Ukipata
radhi
maishani
utajongewa
If
you
find
something
that
you
enjoy
in
life,
it
will
be
taken
from
you
Ukimdharau
mzazi
mwishowe
huaribikiwa
If
you
disrespect
your
parents,
in
the
end
you
will
be
ruined
Wazuri
na
wabaya
wote
wamo
duniani,
wajawa
na
roho
mbaya
The
beautiful
and
the
ugly
are
all
in
the
world,
they
are
filled
with
evil
spirits
Wamesahau
isanii.
They
have
forgotten
humanity.
Mama
nipe
radhi
niipe
radhi
kuishi
na
watu
kweli
kazi
Mother,
forgive
me,
forgive
me,
living
with
people
is
really
hard
work
Mama
nipe
usia
niipe
husia
univae
katika
dunia---
Mother,
give
me
advice,
give
me
wisdom
that
I
can
carry
in
the
world---
Binaadamu
wenzangu
wananichukia
aaa
My
fellow
human
beings
hate
me
aaa
Sina
ubaya
moyoni
mwangu
mungu
ananishuhudia
ooh
I
have
no
evil
in
my
heart,
God
is
my
witness
ooh
Mama
nipe
radhi
binadamu
hawana
wema,
kila
nifanyacho
hawaachi
kunisema
Mother,
forgive
me,
people
have
no
goodness,
whatever
I
do
they
never
stop
talking
about
me
Wananiombea
mabaya
japo
kwa
mungu
hatakiiii.
They
wish
me
evil,
although
God
does
not
want
it.
Aaah
mwanangu
uu,
hiyo
ndiyo
dunia
aa
Aaah
my
child,
that
is
the
world
Yaliyo
moyoni
mwangu
leo
nakuhusia
aa
What
is
in
my
heart
today,
I
will
tell
you
Huu
ukubwa
wangu
uu,
mengi
nayavumilia
aaa
This
is
my
greatness,
I
endure
many
things
Napiga
konde
moyo
wangu
uu
najua
hii
ndo
dunia
aa
I
beat
my
heart,
I
know
this
is
the
world
Kuishi
na
watu
kazi,
wale
usiowajua,
unahitaji
ujuzi,
mwanangu
kuwatambua
Living
with
people
is
hard,
those
you
do
not
know,
you
need
knowledge,
my
child,
to
recognize
them
Оцените перевод
Оценивать перевод могут только зарегистрированные пользователи.
Авторы: Isha Ramadhani
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.