Isha Mashauzi - Nani Kama Mama - перевод текста песни на английский

Текст и перевод песни Isha Mashauzi - Nani Kama Mama

Nani Kama Mama
Nani Kama Mama
Kumepambazuka
Dawn has broken
Asubuhi na mapema
Early this morning
Najitoa shuka nahisi tunazozana
I cast aside my sheets and feel like we're fighting
Kumbe moyo na nafsi vinakwazana
Indeed, my heart and soul are clashing
Na sitaki moyo kupenda tena
And I don't want my heart to love again
Mwili umekufa ganzi maumivu mwili mzima
My body is numb, pain all over
Moyo unauliza nafsi kumbuka yale ya nyuma
My heart asks my soul to remember the past
Niliteseka na penzi langu
I suffered because of my love
Mama mama
Mama mama
Masikini moyo wangu mie.
My poor heart.
Sasa nimpe nani, anaejua thamani
To whom shall I give it now, one who knows its worth
Ajue mimi ni nani, bilinge sizitamani
One who knows who I am, doesn't want my money
Sasa nimpe nani, ataejua thamani
To whom shall I give it now, one who knows its worth
Ajue mimi ni nani, bilinge sizitamani
One who knows who I am, doesn't want my money
...
...
Niliompata ntamlinda kama mboni ya macho yangu, maaachooo.
The one I find, I'll protect like the apple of my eye, myyyy eyes.
Anaejua kupenda, anaejali thamani ya neno looove.
One who knows how to love, who cares for the value of the word looove.

Nawe usinidhihaki, usiponipenda mie
And you, don't mock me, if you don't love me
Sijazoea mikiki napenda raha mieee
I'm not used to gossip, I like to be happy
Niliteseka na penzi langu
I suffered because of my love
Mama mama
Mama mama
Masikini moyo wangu mie.
My poor heart.
Sasa nimpe nani, anaejua thamani
To whom shall I give it now, one who knows its worth
Ajue mimi ni nani, bilinge sizitamani
One who knows who I am, doesn't want my money
Sasa nimpe nani, ataejua thamani
To whom shall I give it now, one who knows its worth
Ajue mimi ni nani, bilinge sizitamani
One who knows who I am, doesn't want my money
...
...

Авторы: Isha Ramadhani

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.