Israel Mbonyi - Sikiliza - перевод текста песни на английский

Текст и перевод песни Israel Mbonyi - Sikiliza




Sikiliza
Listen
Kwa Sasa ya dunia
For now, the things of this world
Kwangu Ni kama yameandikwa
To me, are as though they were written
Yaliyokuwa faida
What used to be gain
Nayahesabu kama hasara
I now count as loss
Sikiliza dunia
Listen, world
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Sikiliza dunia
Listen, world
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Nimehesabiwa haki
I have been justified
Kwa damu yake mutetezi
By the blood of my advocate
Jina langu Limeandikwa
My name is written
Kwenye kitabu cha uzima
In the book of life
Sikiliza dunia
Listen, world
Ujuwe kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Sikiliza dunia (heee)
Listen, world (heee)
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Sikiliza dunia
Listen, world
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Kwa Sasa ya dunia
For now, the things of this world
Kwangu Ni kama yameandikwa
To me, are as though they were written
Yaliyokuwa faida
What used to be gain
Nayahesabu kama hasara
I now count as loss
Sikiliza dunia
Listen, world
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Sikiliza dunia
Listen, world
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Kwa Sasa ya dunia
For now, the things of this world
Kwangu Ni kama yameandikwa
To me, are as though they were written
Yaliyokuwa faida
What used to be gain
Nayahesabu kama hasara
I now count as loss
Sikiliza dunia
Listen, world
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Sikiliza dunia
Listen, world
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Nimehesabiwa haki
I have been justified
Kwa damu yake mutetezi
By the blood of my advocate
Jina langu Limeandikwa
My name is written
Kwenye kitabu cha uzima
In the book of life
Sikiliza dunia
Listen, world
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Sikiliza dunia
Listen, world
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Sasa maumivu hayanitishi
Now pain doesn't frighten me
Nitayasahau kwa Yesu
I will forget it through Jesus
Haijadhihilika nitakavyokuwa
It has not yet been revealed what I shall be
Tutafanana akidhihilika
We shall be like Him when He is revealed
Éwé mbingu Yakili Haya maneno
Oh heaven, hear these words
Ayiweeeee, Kweli dunia Mi si wako
Ayiweeeee, Truly world, I am not yours
Éwé mbingu Yakili Haya maneno
Oh heaven, hear these words
Ayiweeeee, Kweli dunia Mi si wako
Ayiweeeee, Truly world, I am not yours
Sasa maumivu hayanitishi
Now pain doesn't frighten me
Nitayasahau kwa Yesu
I will forget it through Jesus
Haijadhihilika nitakavyokuwa
It has not yet been revealed what I shall be
Tutafanana akidhihilika
We shall be like Him when He is revealed
Éwé mbingu Yakili Haya maneno
Oh heaven, hear these words
Ayiweeeee, Kweli dunia Mi si wako
Ayiweeeee, Truly world, I am not yours
Éwé mbingu Yakili Haya maneno
Oh heaven, hear these words
Ayiweeeee, Kweli dunia Mi si wako
Ayiweeeee, Truly world, I am not yours
Nimehesabiwa haki
I have been justified
Kwa damu yake mutetezi
By the blood of my advocate
Jina langu Limeandikwa
My name is written
Kwenye kitabu cha uzima
In the book of life
Sikiliza dunia
Listen, world
Ujuwe kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Sikiliza dunia (heee)
Listen, world (heee)
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Sikiliza dunia
Listen, world
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Nimehesabiwa haki
I have been justified
Kwa damu yake mutetezi
By the blood of my advocate
Jina langu Limeandikwa
My name is written
Kwenye kitabu cha uzima
In the book of life
Sikiliza dunia
Listen, world
Ujuwe kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Sikiliza dunia (heee)
Listen, world (heee)
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Sikiliza dunia
Listen, world
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Woooh woooh woooh
Woooh woooh woooh
Woooh woooh woooh
Woooh woooh woooh
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Woooh woooh woooh
Woooh woooh woooh
Woooh woooh woooh
Woooh woooh woooh
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Woooh woooh woooh
Woooh woooh woooh
Woooh woooh woooh
Woooh woooh woooh
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours
Woooh woooh woooh
Woooh woooh woooh
Woooh woooh woooh
Woooh woooh woooh
Ujue kwamba mimi si wako
Know that I am not yours






Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.