Joh Makini - Content - перевод текста песни на английский

Текст и перевод песни Joh Makini - Content

Content
Content
Content(Maudhui)
Content
Content eeey
Content eeey
Content, content, content, content
Content, content, content, content
Maudhui maudhui maudhui, maudhui, maudhui(Content)
Maudhui maudhui maudhui, maudhui, maudhui (Content)

Pambana hela yote tuvunje manyozi (Content)

Nukisha kivyovyote tugonge maviews (Content)

Ubora umeadimika shinda bikra, excellence is missing

Ni kama zima jalalani fikra, takataka discipline

Masela hawagongi like picha mpaka waone Gstring

Brand zinawekwa rihani, mambo ya ndani hadharani

Ni funza wamejaa vichwani ama ni kutafta kukaa hewani

Chap chap utambi yaani, umaarufu ni pombe gani?

Matap tap kabisa yaani
Matap tap kabisa yaani
Kuna kufunga ndoa, kutafuta familia na watoto wa kulea

Na kuna kufunga ndoa kutafuta content, mambo ya kuongelewa (Content)

Kulia lia kwenye interviews, kuchafulia majina ma ex (Content)

Kupagawishwa na kubreak manews, kujichulia vifo kiwepesi (Content)
Kupagawishwa na kubreak manews, kujichulia vifo kiwepesi (Content)
Maudhui maudhui maudhui, maudhui, maudhui (Content)
Maudhui maudhui maudhui, maudhui, maudhui (Content)
Maudhui maudhui maudhui, maudhui, maudhui (Content)
Maudhui maudhui maudhui, maudhui, maudhui (Content)
Tunapenda sana ichukue nafasi yake (Content)

Tunataka ukweli ukalie kiti chake (Content)

Wanasema wasanii elimisheni (Content)
Wanasema wasanii elimisheni (Content)
Mara ooh wasanii badilikeni (Content)
Mara ooh wasanii badilikeni (Content)
Wakiskia kuna video chafu ambayo imesambaa

Hawana haya kutafuta ma connection
Hawana haya kutafuta ma connection
Wanasaka ma connection
Wanasaka ma connection
Kumbe kuna jinga lipo kwenye mission
Kumbe kuna jinga lipo kwenye mission
Kuna jinga linatafuta ma attention
Kuna jinga linatafuta ma attention
Attention please
Attention please
Usinimind mwana take it easy
Usinimind mwana take it easy
Kuna kazi nataka kurelease
Kuna kazi nataka kurelease
And I know yule wali ndizi (Content)
And I know yule wali ndizi (Content)
Mahubiri siku hizi si ju ya nini Adamu alikula tunda (Content)

Mahubiri siku hizi ni juu ya habari ya kula tunda (Content)

Wanasiasa wanatengeneza brand hawazingatii maendeleo (Content)

Wanazingatia picha na wanakijiji kuliko maendeleo ya Kijiji (Content)

Cha msingi kule kwenye mitandao
Cha msingi kule kwenye mitandao
Ionekane ameondoka na wanakijiji (Content)

Msanii mchanga unaumia na sio kweli kwamba hujui mziki

Jamaa wanasema huzungumziki, huna matukio interview vipi? (Content)

Hatununui pombe kupandisha kwa kichwa
Hatununui pombe kupandisha kwa kichwa
Tunasaka mapicha kupandisha kwa Insta
Tunasaka mapicha kupandisha kwa Insta
Vile tukishindwa kujikomboa Africa
Vile tukishindwa kujikomboa Africa
Tunajikuta tu Ulaya mababy sitter
Tunajikuta tu Ulaya mababy sitter
Maumbea maudaku tuko Insta
Maumbea maudaku tuko Insta
Harakati si tunazifanya twitter
Harakati si tunazifanya twitter
Tunapenda sana ichukue nafasi yake (Content)
Tunapenda sana ichukue nafasi yake (Content)
Tunataka ukweli ukalie kiti chake (Content)
Tunataka ukweli ukalie kiti chake (Content)
Tunapenda sana ichukue nafasi yake (Content)
Tunapenda sana ichukue nafasi yake (Content)
Tunataka ukweli ukalie kiti chake (Content)
Tunataka ukweli ukalie kiti chake (Content)
Maudhui maudhui maudhui, maudhui, maudhui (Content)
Maudhui maudhui maudhui, maudhui, maudhui (Content)
Maudhui maudhui maudhui, maudhui, maudhui (Content)
Maudhui maudhui maudhui, maudhui, maudhui (Content)

Авторы: Jackson Makini

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.