King Kaka feat. Kidum Kibido - Hallo - перевод текста песни на английский

Текст и перевод песни King Kaka feat. Kidum Kibido - Hallo




Hallo
Hello
Eeeh Kidum Kibido na King Kaka
Eeeh Kidum Kibido and King Kaka
(Kaka Empire is the lifestyle)
(Kaka Empire is the lifestyle)
Mtoto kitu, mtoto kitu
My dear, my dear
Kitu kabisa (Bern Music)
Absolutely (Bern Music)
Unajifanya hunioni
You pretend not to see me
Nikiwa tu unameza mate
When I'm around, you salivate
Unanitesa, kwa kusoma unatisha hisia zangu
You torture me, reading my emotions scares you
Nimepatiwa namba yako
I was given your number
Ili niweze kukueleza
So that I could tell you
Hisia zangu kukuhusu wewe mami
My feelings for you, mami
Kama vile mtu akifutwa kazi
Like someone who's been fired
Anakata tamaa na kupoteza matumaini
They become hopeless and lose faith
Jaribu basi, kuchukua simu zangu
So try and pick up my calls
Nikueleze yote yaliyomo moyoni mwangu
Let me tell you all that's in my heart
Hallo, chukua tu simu zangu
Hello, just pick up my calls
Hallo, sina ubaya nisikie
Hello, it's not a bad thing to hear from me
Hallo, ni kukupenda tu
Hello, it's just that I love you
Kunanizungusha kichwa
It's making my head spin
Baby hallo, chukua tu simu zangu
Baby hello, just pick up my calls
Hallo, sina ubaya nisikie
Hello, it's not a bad thing to hear from me
Hallo, ni kukupenda tu
Hello, it's just that I love you
Kunanizungusha kichwa
It's making my head spin
Baby hallo
Baby hello
Ni kukupenda tu
It's just that I love you
Kunanizungusha kichwa
It's making my head spin
Nitahang in there kama ataniboo
I'll hang in there even if you ignore me
Kawia kushika ina ni turn me on
The delay in picking up turns me on
Ka sio milele nipe cameo
If it's not forever, give me a cameo
Siasa tuwache maa shika phone
Let's forget about politics, pick up the phone
Jua miguu zako daily zinanimove
Know that your feet move me daily
Kuna vile maa unanido
There's a way, you've got me
Bora hujaniblock najua tuko idhaa
It's good that you haven't blocked me, I know we're on the same page
With you, me, plus you ni one
With you, me, plus you is one





Авторы: Kennedy Ombima


Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.