Lady Bee - Twende Kwa Yesu - перевод текста песни на английский

Текст и перевод песни Lady Bee - Twende Kwa Yesu




Twende Kwa Yesu
Let's Go to Jesus
Twende kwa Yesu mimi nawe,
Let's go to Jesus, you and I,
Njia atwonya tuijue
Let us know the way he has shown us
Imo Chuoni; na Mwenyewe,
In his college; and the master himself,
Hapa asema, Njoo!
Says here, come!
Na furaha tutaiona,
And we shall see joy,
Mioyo ikitakata sana,
Our hearts burning so much,
Kwako, Mwokozi, kuonana,
To see you, my savior,
Na milele kukaa.
And live forever.
"Wana na waje", atwambia,
"Sons and daughters," he says to us,
Furahini mkisikia,
Rejoice when you hear,
Ndiye mfalme wetu pia,
He is our king too,
Na tumtii, Njoo.
And we obey him, come.
Wangojeani? Leo yupo;
What are you waiting for? He is here today;
Sikiza sana asemapo;
Listen carefully to what he says;
Huruma zake zikiwapo,
With his mercy present,
Ewe kijana, Njoo.
Oh young man, come.





Авторы: Lady Bee

Lady Bee - Twende Kwa Yesu
Альбом
Twende Kwa Yesu
дата релиза
21-03-2016



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.