Nedy Music - Acha Iwe - перевод текста песни на английский

Текст и перевод песни Nedy Music - Acha Iwe




Acha Iwe
Let It Be
Umenifuta alama ya upendo
You've erased the sign of love
Kwenye penzi langu
Gone from my heart
Tena ukashindwa kuficha matendo
You tried to hide your spite
Kwenye mboni langu
But failed to keep it apart
Najihisi moyo una ganzi
I feel my heart growing numb
Ngumu kufika safari yangu
My journey seems tough
Kinywa kibogoyo silambi
I can't swallow or chew
Wala kutafuna
My life's so rough
Aliniteka akili yangu
You captured my mind
Nikazama mazima mazima
And consumed me whole
Mwisho wa siku ikala kwangu
In the end, all that remained
Kichwa ikabaki na jina
Was my name alone
Oooh yanauma
Oooh it hurts
Ndio maana kila siku shida shida
That's why every day is a struggle
Tajiri wa huzuni
Rich in sorrow
Ndonda limekosa tiba
A wound without a cure
Nitapona lini?
When will I recover?
Mie eh acha iwe, we acha iwe
Let it be, let it be
Acha iwe, bora nibaki mwenyewe
Let it be, I'm better off alone
Acha iwe, we acha iwe
Let it be, let it be
Acha iwe, bora nibaki mwenyewe
Let it be, I'm better off alone
Nilishapona kidonda
My wound had almost healed
Ona kaja kukitonesha
But you ripped it open again
Kinywa nong′ona kupenda
Your words whispered of love
Nakosa jibu kuwtwa nakesha
Leaving me speechless and drowning in pain
Naumwa kuwaza eh
I'm sick with worry
Huenda pengine moyo hujaridhia
Perhaps my heart has refused to heal
Nyota angaza eh
Oh shining star
Mizani nipime wapi nafsi itatulia
Where can I weigh my soul to find peace?
Ama ni nuksi mikosi
Is this just bad luck?
Nyota ya punda yangu kubeba mizigo
The destiny of a donkey to carry burdens
Ninakazana kufosi
I struggle to move forward
Cha jana kuvunda kwangu mi nishazoe
Yesterday's pain has become my norm
Kila siku shida shida
Every day is a struggle
Tajiri wa huzuni
Rich in sorrow
Ndonda limekosa tiba
A wound without a cure
Nitapona lini?
When will I recover?
Mie eh acha iwe, we acha iwe
Let it be, let it be
Acha iwe, bora nibaki mwenyewe
Let it be, I'm better off alone
Acha iwe, we acha iwe
Let it be, let it be
Acha iwe, bora nibaki mwenyewe
Let it be, I'm better off alone
Kila siku shida shida
Every day is a struggle
Tajiri wa huzuni
Rich in sorrow
Ndonda limekosa tiba
A wound without a cure
Nitapona lini mie
When will I recover





Авторы: Said Seif Ally


Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.