Текст песни Tujiangalie - Sauti Sol , Nyashinski
Barua
toka
Jaramogi
na
kenyatta
Wanauliza
kama
Kenya
kuko
sawa
Nikawajibu
Kenya
tuko
na
disaster
Watoto
wetu
wanazidi
kuzikana
Na
Tom
Mboya
ameshika
tama
Alituacha
kama
angali
kijana
Je?
angekuwa
mambo
Yangekua
sawa?
Ndivyo
alivyopanga
maulana
Deni
mlizowacha
bado
tunalipa
(Tunalipa)
Na
tumekopa
zingine
china
Tukajenga
reli
pia
barabara
Zilizobaki
watu
wakasanya
So
Tujiangalie
(Tujiangalie)
Tuko
pabaya
leo
kuliko
jana
Sikio
la
kufa
halisikii
dawa
Tuko
kwa
twitter
tuna
jibizana
Tujiangalie
(Tujiangalie)
Tuko
pabaya
leo
kuliko
jana
Tusipo
ziba
ufa
tuta
jenga
kuta
Tusake
zetu
Tungali
vijana
Waumini
kwa
mathree
na
passie
kwa
bimmer
Kushoto
fungu
la
kumi
Sadaka
kulia
Ndio
maana
mbele
ya
kanisa
mheshimiwa
Anakula
sacramenti
Kabla
ya
raia
Siku
za
mwisho
zime
shawadia
Na
revelation
inatuambia
Hii
generation
inachoma
picha
Ni
generation
yetu
So
Tujiangalie
(Tujiangalie)
Tuko
pabaya
leo
kuliko
jana
Sikio
la
kufa
halisikii
dawa
Tuko
kwa
twitter
tuna
jibizana
Tujiangalie
(Tujiangalie)
Tuko
pabaya
leo
kuliko
jana
Tusipo
ziba
ufa
tuta
jenga
kuta
Tusake
zetu
Tungali
vijana
Michuki
alisema
tufungeni
mikanda
Ona
leo
twavuna
tulicho
panda
Kura
zetu
zilitugawanya
Makabila
na
pesa
pia
tulimanga
So
when
you
make
your
bed
oh
(You
lie
on
it
ohh!)
Usingizi
gani
tumelala?
Tuta
jua
hatu
jui
Vision
2030
itabaki
ni
story
Tujiangalie
(Tujiangalie)
Tuko
pabaya
leo
kuliko
jana
Sikio
la
kufa
halisikii
dawa
Tuko
kwa
twitter
tuna
jibizana
Tujiangalie
(Tujiangalie)
Tuko
pabaya
leo
kuliko
jana
Tusipo
ziba
ufa
tuta
jenga
kuta
Tusake
zetu
Tungali
vijana
Barua
toka
Jaramogi
na
kenyatta
Wanauliza
kama
Kenya
kuko
sawa
Nikawajibu
Kenya
tuko
na
disaster
Watoto
wetu
wanazidi
kuzikana
Mdosi
aliniambia
Freedom
never
comes
for
free
We
vote
tribe,
ama
real
cash,
ask
Boni
Tuna
roho
mahali
hamwezi
Ita
GSU
plus
doggy
World
mzima
twitter
Kot
ndio
first
body
Burn
picha
si
ni
waafrika
Black
coffee
(Annan)
I'm
richer
than
my
neighbor
but
we
both
in
the
slum
If
the
rich
always
win
then
Why
should
the
popular
run?
Unless
democracy
ni
word
si
usema
Only
for
fun
Tujiangalie
(Tujiangalie)
Uh,
na
hii
weekend
tuko
church
Tunauza
sura
kabisa
Post
ya
haga
Huenda
poa
sana
na
Caption
ya
scripture
Kaa
hiyo
gospel
Pitisha
bag
ya
sadaka
kwa
club
Tujiangalie
(Tujiangalie)
Uh,
traffic
madrug
ubuy
ndai
Traffic
mandai
zinadrag
Ku
admire
mwizi
amemake
it
Story
za
shamba
wamegrab
Mkono
nahonga
imevaa
Bracelet
ya
colors
za
flag
Yeah
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.