Soweto Gospel Choir - Baba Yethu - перевод текста песни на английский

Текст и перевод песни Soweto Gospel Choir - Baba Yethu




Baba Yethu
Our Father
Baba yetu, yetu uliye
Our Father, who art
Mbinguni yetu, yetu, amina!
In heaven, hallowed be thy name.
Baba yetu, yetu, uliye
Our Father, who art
Jina lako litukuzwe.
Your name be praised.
Baba yetu, yetu uliye
Our Father, who art
Mbinguni yetu, yetu, amina!
In heaven, hallowed be thy name.
Baba yetu, yetu, uliye
Our Father, who art
Jina lako litukuzwe.
Your name be praised.
Utupe leo chakula chetu
Give us this day our daily bread
Tunachohitaji utusamehe
And forgive us our trespasses
Makosa yetu, hey!
Our mistakes, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
As we forgive those
Waliotukosea usitutie
Who trespass against us and lead us not
Katika majaribu, lakini
Into temptation, but
Utuokoe, na yule, milelea milele!
Deliver us from evil, forever and ever!
Baba yetu, yetu uliye
Our Father, who art
Mbinguni yetu, yetu, amina!
In heaven, hallowed be thy name.
Baba yetu, yetu, uliye
Our Father, who art
Jina lako litukuzwe.
Your name be praised.
Baba yetu, yetu uliye
Our Father, who art
Mbinguni yetu, yetu, amina!
In heaven, hallowed be thy name.
Baba yetu, yetu, uliye
Our Father, who art
Jina lako litukuzwe.
Your name be praised.
Ufalme wako ufike utakalo
Thy kingdom come, thy will be done
Lifanyike duniani kama mbinguni. (Amina)
On earth as it is in heaven. (Amen)
Baba yetu, yetu uliye
Our Father, who art
Mbinguni yetu, yetu, amina!
In heaven, hallowed be thy name.
Baba yetu, yetu, uliye
Our Father, who art
Jina lako litukuzwe.
Your name be praised.
Utupe leo chakula chetu
Give us this day our daily bread
Tunachohitaji utusamehe
And forgive us our trespasses
Makosa yetu, hey!
Our mistakes, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
As we forgive those
Waliotukosea usitutie
Who trespass against us and lead us not
Katika majaribu, lakini
Into temptation, but
Utuokoe, na yule, simama mwehu
Deliver us from evil, you fool
Baba yetu, yetu, uliye
Our Father, who art
Jina lako litukuzwe.
Your name be praised.
Baba yetu, yetu, uliye
Our Father, who art
Jina lako litukuzwe
Your name be praised





Авторы: Christopher C Tin


Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.